Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

U hb wote umeisha masikini. Serikali iingilie kati kuanzia mtumiaji mpaka mletaji wadhibitiwe

Mrs Van
Watumiaji wanahitaji kusaidiwa kwa maradhi ya ulivi wa madawa.Hapa Tanzania bara Na visiwani ziko sehemu ambazo zinawasaidia kutorudia kutumia.Wakidhibitiwa haitawasaidia waathiriwa ila itaigharimu Serikali Kwa kuwashitaki Na kuwafunga Kwa makosa ya kutumia.Wauzaji WAPIGWE RISASI UWANJA WA TAIFA.Ili uwe Mfano Kwa wengine kama anavyo fanya Raisi wa the Philippines.

Clinic
Bara hapa Dar ziko Muhimbili(methadone
Mwananyamala,.Kigamboni Na Makongo juu
Dodoma Hospital ya Mirembe
Visiwani ziko kumi 11 Na wafanyakazi Au wasaidizi walikuwa "mataje"

Nimezijuwa Kwa sababu mdogo Wangu alikuwa "TEJA"
 
Hii mambo ishia tu kuona kwenye picha...! Bora sio msanii wa Bongo Flavor manake zigo la mavi angedondoshewa Ruge na Clouds wakati ni wenyewe ndio wapu'mbavu!
 
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu.

Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi ya Chiddy Benzino.

Huyu ndio kijana mwingine anayetoa "alarm" kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio "ujanja" ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lkn majibu ya madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa umekwisha kwenda.

Tuwasaidie vijana wetu waepukane na matumizi ya madawa ya kulevya.

View attachment 453137
Wanayapata wapi? Hao barons wa unga mbona hawashikwi?
 
Dawa za kulevya sometimes sielewi kama serkali inalokusudi la kuangamiza hii kitu au kuchezeana akili. watumia unga wapo wazi ukipita wakutana nao, ila inakuwa ni ajabu ambapo awaonekanagi machoni pa vyombo vya ulinzi na usalama tu. sielewi kwanini wahusika huwa awakamatwi na kuwauliza wamezitoa wapi ili wakafuatilia cheni wakawapata wahusika.
Hii haitaisha mpaka serkali na vyombo husika vitakapokuwa na dhamira ya kweli kuangamiza hii kitu. Wachina wanajitahidi wakikudaka tu watachokufanya utajua na kujuta. ebu tuwe serious nasi maanake sio sahihi
 
Maisha ni kuchagua.... Jiulize kwanini wewe sio teja??

Anyway, tunahitaji adhabu za Rodrigo Duterte kwa drug lords wa Tanzania otherwise tutakuwa tunapiga kelele occasionally
 
Back
Top Bottom