Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Pata bundle mbili za bia bingwa ntalipa nikiuza kiwanja changu.Shukrani.😎
 
Kwani Chama kwao ni kwa Mkapa?Haujui hata kwa Mkapa Chama anakuwa away tu?Kwao ni Zambia.😂😂😂😂
 
Kwani Chama kwao ni kwa Mkapa?Haujui hata kwa Mkapa Chama anakuwa away tu?Kwao ni Zambia.😂😂😂😂
Kumbe mpira umeanza kujua leo hata maana ya away hujui. Kwani Simba ni timu ya taifa mpaka useme uwanja wa Mkapa ni away kwa Chama. Uwanja wa Mkapa ndio uwanja wa nyumbani kwa wachezaji wa Simba (timu ya Simba)
 
Usitaharuki kwa vitu vidogovidogo.Unachangamshwa akili.Jadili kauli ya kocha.Acha kutoa ulinganisho.Chama ni jini au konokono?
 
Sio rahisi kumuona Chama akicheza dhidi ya Yanga, Azam n.k kwenye game za watu ambao muda wote upinzani wanasakata mpira, Chama anapoteaga kabisa.

Pacome na Azizi Ki huko walikotoka walikuwa ni MVPs. Hawa watu game yoyote ile wanacheza mpira mwingi.
 
Usitaharuki kwa vitu vidogovidogo.Unachangamshwa akili.Jadili kauli ya kocha.Acha kutoa ulinganisho.Chama ni jini au konokono?
Ni jini akiwa dar na pia akiwa anacheza vs weak opponent. Ni konokono akiwa anacheza vs strong opponent ama away. Unataka na mifano? Kwenye mechi ya Wydad vs Simba kule Morocco Simba alipata mpira wa counter. Ngoma akampenyezea pasi Chama akiwa peke yake, kakosa mwendo mpaka beki anatoka nyuma na kuzuia shambulizi.
 
Hata jana alikosa magoli.Ni kawaida.Halafu,sorry,hivi atasajiliwa lini utopoloni huyu konokono?
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
Naamini dua yenu ya kuombea Simba limnyama ifungwe na wavaa vibwebwe wa makhirikhiri haikufika anga za mbali.Dua ilikuwa fake!
 
Hata jana alikosa magoli.Ni kawaida.Halafu,sorry,hivi atasajiliwa lini utopoloni huyu konokono?
Sijazungumzia kukosa makoli kwenye hayo mazingira bali nimezungumzia spidi. Jana kwa Mkapa dhidi ya Galaxy kaonekana mwenye spidi ila kule Morocco kaua move kwa kukosa spidi
 
Sijazungumzia kukosa makoli kwenye hayo mazingira bali nimezungumzia spidi. Jana kwa Mkapa dhidi ya Galaxy kaonekana mwenye spidi ila kule Morocco kaua move kwa kukosa spidi
Spidi gani unayoitaka wewe na uto wenzio?Ndivyo alivyo.Spidi pelekea Kisinda.
 
Hii kali,

Unamfananisha mwamba wa lusaka na zuwena,
Haya ni matusi
 
Ongezaaaaaaaaa sautiiiii hadi majini uchwara ya Avic town wasikie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chama vs Yacouba Sogne
Chama vs Ntibanzokinza
Chama vs Khalid Aucho
Chama vs Aziz Ki
Chama vs Pacome
Chama vs Who's next??

Mtamaliza huu mjadala au mnataka serikali iingilie kati?
Bado hadi wafikie kwa Diarra, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hao wote wamefananishwa/wanafananishwa na Chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna Chama m1 tyuuh Bongo, epuka matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…