Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Sema wewe mwenyewe kwa sasa nani ni bora?
Bora ni yule anayefananishwa na kila mchezaji na bado anawa prove wrong, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwann Chamaa na sio wenginee? Jibu unalooo.
 

Weeee acha izo mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani wakumuweka benchi chama hapo?
 
Tunamuongelea mchezaji bora namba saba[7]wa muda wote CAF champions league jumla goli 18 kwa sasa ndiye mchezaji aliye active waliomzidi wamestaafu na wengine wako ulaya. .Juu yake yupo Bwana Samatha
Ongezaaa sautiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo🤔
kwa wanao fuatilia mpira, hizo 5 ni kama Yanga kazirudisha tu, maana alishafungwa na Simba, ila kama unaipenda yanga hupendi mpira hili huwezi kujua.
 
Makolo wakikumbuka 5G na timu iliyowatumbua ipo juu kwenye msimamo wa ligi kuu, furaha yao inatumbukia nyongo[emoji848]
Mbona wee ndo unatesekaa sanaa bwasheee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi dawa 3 hujameza badoo?
 

Team kubwa ni ipi? Kwa iyo wale galaxy wadogo?
 
Jambo la muhimu ni Tanzania tuna timu 2 kwenye robo fainali...

Sasa wakulungwa wote wa Kariakoo ni kuelekeza nguvu za ndani na nje ya uwanja kuhakikisha tunaweka timu walau moja kwenye nusu fainali...
 
Weeee acha izo mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani wakumuweka benchi chama hapo?
Kwanza hakuna timu itapenda kuwa na wachezaji hao wote kwa pamoja kwa sababu ni high profile players. Ninachozungumza kwa sasa Chama bado akajitafute kwa Pacome na Aziz
 
Kwanza hakuna timu itapenda kuwa na wachezaji hao wote kwa pamoja kwa sababu ni high profile players. Ninachozungumza kwa sasa Chama bado akajitafute kwa Pacome na Aziz
Labda useme pakome, Aziz key big No, na Hata pakome anapaswa kucheza Kwa kiwango hiki Kwa muda mrefu ndio afikie kulinganishwa na Chama. Maana Chama kafanya makubwa Kwa zaid ya miaka 5 mfululizo. Muda mwingine tuache ushabiki tuuheshimu mpira, Kweli pakome msimu Huu kaperform kuliko Chama ila Kweli jaman Hata msimu mmoja hajamaliza alinganishwe na Chama? Mfano Kwa Sasa Halland yupo vizuri kuliko mess na Ronaldo ila haitoshi kumfananisha na Watu hao. Inabid ayafanye haya anayofanya Kwa miaka zaidi ya 7 Kama walivyofanya wenzake ndio afananishwe. Yupo wap Neymar na mbape si wote walianza vizuri.

Ni wazi kwamba Pakome form aliyo nayo Sasa ni zaidi ya Chama na ana nafasi ya kufanya zaid na zaid maana Chama umri unamuacha ila Bado ana safari ndefu kufikia class ya Chama kwenye ligi kuu na caf champions league
 
Hao wote ulio wataja wana viwango vya graph hawana consistency

Wanapanda siku moja wanakuja kushuka wiki mbili.

Huyo Azizi Ki hadi Nabi aliwahi kusema kuwa sio mchezaji wa kumaliza dakika 45

Kwenye mechi yenu na Monastir pia Nabi alisema Azizi Ki sio mchezaji tegemezi kwa Yanga ndio maana alikuwa anaanzia benchi.

Kwenye mechi yenu na Bamako, Nabi alisema Azizi Ki ameshuka sana kiwango na hawezi kumtumia sana kwenye mfumo wake.

Na ndio game hiyo hiyo ambayo hadi mchambuzi wa Azam TV alisema Azizi Ki kwenye mechi hii alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi.

Huyo Azizi Ki ndio unayetaka kumfananisha na GOAT wa Tanzania?

Chama ni top 8 kwa wafungaji bora wa Club Bingwa, huyo Pacome ana nini?

Azizi Ki kwenye michuano ya Afcon amefanya kitu gani special cha kukumbukwa?

Chama alitoa assist, huyo Azizi Ki alifanya nini?

Huyo Pacome ndio kwanza mpira alikuwa anauangalia kwenye runinga.

Mi naona Pacome afanananishwe na Chasambi at least tunaweza kuona kuna balance.
 
Ilikuwa ni ngumu sana kwa Utopolo yeyote kuisoma hiyo post bila kuumia kwasababu nimeandika ukweli.

Hata leo Hersi yuko tayari kufanya lolote ampate Chama, ikiwemo kumtimua Pacome na Azizi Ki kama sharti litakuwa hilo.
 
Yanga Mpumzisheni Chama.
Wala hana habari ya mlinganisho wenu kwa kila mchezaji wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…