Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

Hakuna mchezaji ambae yeye yupo vizuri wakati wote halafu unapolinganisha wachezaji tumia takwimu siyo mahaba. Mwisho Pacome na Aziz K hawafai hata kulinganishwa na Chama sababu ndo wanaanza safari ya mafanikio ndani ya hii nchi, labda wajifunze kwake na kuboresha zaidi ili wavuke takwimu alizotengeneza.
 
To be honest, Afcon yote sijawaishuhudia mchezaji mwenye kipaji au akili ya mpira kama Chama
 
Pacome afananishwe na Chasambi kwani Chasambi nae yupo kwenye chati ya wanaongoza kwa magoli msimu huu?
Chasambi yupo kwenye orodha ya wanaongoza kwa sssist?
Kama hayupo basi mtoe kabisa Chasambi kwasababu hastahili.
Pacome msimu huu ana magoli matatu kwenye CAFCL
ana assist mbili je ulikuwa unataka muendelezo upi kwake?
 
Chasambi haongozi kwa assist wala magoli kwasababu hapewi nafasi ya kuanza, na wala hachezi muda mwingi.

Ila katika muda mfupi tu aliocheza kaonesha ubora ambao naona unatosha kabisa kum challenge Pacome.
 
To be honest, Afcon yote sijawaishuhudia mchezaji mwenye kipaji au akili ya mpira kama Chama
Wao wenyewe wanajua basi tu ushabiki wa kijinga.

Unakumbuka baada ya Aucho kutepeta kwenye ligi yake na Chama, Yanga wakahamisha magoli kumtafutia Aucho size yake ili at least wapate ushindi Aucho aepukane na aibu?

Wakaanza kumfananisha Aucho na Mzamiru.

Lakini ile siku tunacheza Taifa Stars na Uganda mimi niliangalia ile mechi kwenye banda umiza, kocha anakuja kufanya sub ya kumtoa Mzamiru

Hii sub ya kumtoa Mzamiru, mashabiki wengi wa Yanga walimkasirikia sana kocha wakidai kuwa pale kati Mzamiru alikuwa amemdhibiti Aucho.

Sasa nikawa najiuliza hawa si ndio wanaosema Aucho ni mkali kwa Mzamiru leo imekuwaje tena waseme Aucho kuadhibiwa??.
 
Chasambi haongozi kwa assist wala magoli kwasababu hapewi nafasi ya kuanza, na wala hachezi muda mwingi.

Ila katika muda mfupi tu aliocheza kaonesha ubora ambao naona unatosha kabisa kum challenge Pacome.
Pacome anashindana na Sankara na wachezaji wengine katika vipengele vinginevyo. Huyo Chasambi wako kampiganie kwanza kwa kocha wako ili apate namba.
Pacome ndani ya CAF
Goli 3
Assist 2
Sijui kwa Simba ni mchezaji gani anayemkaribia Pacome kwa hizi statistics kama yupo basi sio mbaya ukaleta statistics zake za msimu huu hapa
 
Chama vs Yacouba Sogne
Chama vs Ntibanzokinza
Chama vs Khalid Aucho
Chama vs Aziz Ki
Chama vs Pacome
Chama vs Who's next??

Mtamaliza huu mjadala au mnataka serikali iingilie kati?
Injinia
 
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1

Wakati Pacome alihitaji dakika 540 kupata hizo bao 3 na assist 2

Kwa calculation ya muda na magoli unaona Chasambi takwimu zinambeba kuliko Pacome.
 
Hii post iwekwe juu kabisa pale ili wengine waishie hapo pg1.
 
Pacome ameanza kucheza mpira akiwa Yanga? Wekeni hata takwimu zake huko alikotoka.

Weka hata na za Aziz tuone. Kama hawajawahi kushiriki CL huko walikotoka tujulishwe pia.

Kamuulize Hersi kuhusu chama, maana nyie ndiye mnaweza kumsikiliza na mkakubali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1

Wakati Pacome alihitaji dakika 540 kupata hizo bao 3 na assist 2

Kwa calculation ya muda na magoli unaona Chasambi takwimu zinambeba kuliko Pacome.
Chama msimu huu kacheza dakika ngapi? Ka assist ngapi na goli ngapi? Au ni mchezaji gani wa Simba aliyefikia assist na magoli kama Pacome?
 
Picha hana..naona profile yake ipo empty
 
Chasambi kacheza dakika 7 kafunga bao 1

Wakati Pacome alihitaji dakika 540 kupata hizo bao 3 na assist 2

Kwa calculation ya muda na magoli unaona Chasambi takwimu zinambeba kuliko Pacome.

dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chama huyu wa mechi ndogo kweli sisi simba ni mambumbumbu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…