Chama ni GOAT hawezi kushindanishwa na upcoming playerChama msimu huu kacheza dakika ngapi? Ka assist ngapi na goli ngapi? Au ni mchezaji gani wa Simba aliyefikia assist na magoli kama Pacome?
Ndio ilivyo kwa wachezaji wakubwa wengi hawapendi ustaa wa kutaka kuonekana onekana kila sehemuPicha hana..naona profile yake ipo empty
Mechi ndogo mechi gani?Chama huyu wa mechi ndogo kweli sisi simba ni mambumbumbu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja tubishane kwa statistic sio kwa picha
Fundi wa Mpira Pacome zouzoua
huyo GOAT tokea aje Tanzania, ni timu gani ambayo ilitamani ifanye naye kazi zaidi ya Berkane ambapo wakaona kumbe ni mchezaji anayekuzwa na maneno mengi ya watanzania. Mchezaji anaishia kucheza Tanzania pekee hata vilabu vikubwa havimtaki.Chama ni GOAT hawezi kushindanishwa na upcoming player
Kwenye viunga vya CAF Champion league Chama ni icon ambayo inaishi miaka mingi.
Pacome ni upcoming lazima tumuweke kwenye mzani na Chasambi ambaye ni upcoming mwenzake.
Kama huyo Chama ni jini, basi huyu Pacome ni Pepo!
huyo GOAT tokea aje Tanzania, ni timu gani ambayo ilitamani ifanye naye kazi zaidi ya Berkane ambapo wakaona kumbe ni mchezaji anayekuzwa na maneno mengi ya watanzania. Mchezaji anaishia kucheza Tanzania pekee hata vilabu vikubwa havimtaki.
Mmm. Hao wadogo? Au mkubwa kiumri?Ndio ilivyo kwa wachezaji wakubwa wengi hawapendi ustaa wa kutaka kuonekana onekana kila sehemu
Hao wanapenda sifaMmm. Hao wadogo? Au mkubwa kiumri?
Hersi ni wa hapa hapa Tanzania, je timu za nje ya Tanzania hawauoni huo ubora wa Chama kiasi kwamba misimu nenda rudi yupo Tanzania tu
Mfano mzuri unaanzia ndaniHersi ni wa hapa hapa Tanzania, je timu za nje ya Tanzania hawauoni huo ubora wa Chama kiasi kwamba misimu nenda rudi yupo Tanzania tu
Kuwa na majini sio?Inapendeza
Aziz Ki msimu wake wa kwanza NBC ndio tunasema aliku na perfomance mbovu lakini ukilinganisha msimu wake uliopita ambao alikua MVP ligi aliyotoka alikua number nzuri huku. Cheki sasa hivi anavyokiwasha ndio top score.Labda useme pakome, Aziz key big No, na Hata pakome anapaswa kucheza Kwa kiwango hiki Kwa muda mrefu ndio afikie kulinganishwa na Chama. Maana Chama kafanya makubwa Kwa zaid ya miaka 5 mfululizo. Muda mwingine tuache ushabiki tuuheshimu mpira, Kweli pakome msimu Huu kaperform kuliko Chama ila Kweli jaman Hata msimu mmoja hajamaliza alinganishwe na Chama? Mfano Kwa Sasa Halland yupo vizuri kuliko mess na Ronaldo ila haitoshi kumfananisha na Watu hao. Inabid ayafanye haya anayofanya Kwa miaka zaidi ya 7 Kama walivyofanya wenzake ndio afananishwe. Yupo wap Neymar na mbape si wote walianza vizuri.
Ni wazi kwamba Pakome form aliyo nayo Sasa ni zaidi ya Chama na ana nafasi ya kufanya zaid na zaid maana Chama umri unamuacha ila Bado ana safari ndefu kufikia class ya Chama kwenye ligi kuu na caf champions league
Game kubwa gani ambayo Chama hajacheza?Tatizo chama hafurukutigi game kubwa , sio kama pacome ambapo game zote ni motoo
Ndugu hili lilikua tatizo la timu nzima. Kipinxi kile ilikua Yanga isipopata matokeo kipindi cha kwanza ilikua mtihani kutoboa kipindi cha pili. Kama ni mfuatiliaji nadhani utakumbuka vizuri.Huyo Azizi Ki hadi Nabi aliwahi kusema kuwa sio mchezaji wa kumaliza dakika 45
Hii inatokea mara nyingi tu kwa wachezaji wengi hata Chama. Niambie Chama alikuaje kabla hajasimamishwa na sasa hivi? Inatokea siku moja moja game kumkataa mchezaji na sio kila sikuNa ndio game hiyo hiyo ambayo hadi mchambuzi wa Azam TV alisema Azizi Ki kwenye mechi hii alikuwa kama msafiri tu ambaye hajui anaenda wapi.
Huyo Pacome carrier yake ya mpira imeanza lini?Aziz Ki msimu wake wa kwanza NBC ndio tunasema aliku na perfomance mbovu lakini ukilinganisha msimu wake uliopita ambao alikua MVP ligi aliyotoka alikua number nzuri huku. Cheki sasa hivi anavyokiwasha ndio top score.
Haya huyu Pacome naye katoka kule kama MVP cheki anavyokiwasha sasa hivi. Naxhotaka kusema ni kwamba hawa wachezaji hawahitaji misimu 7 kuonyesha viwango vyao kama ulivyosema hapo. Misimu mitatu inawatosha kuonyesha hawa watu si wa mchezo mchezo.