Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

#10 hukupaswa kuongeza chochote (yuko vizuri)
#8 sidhani kama anastahili kuwepo hapo kabisa (I'm not hater) ila ndo ukweli huo.
 
Huyo namba 7 anajua kweli! Hawafagilii hata kidogo wangese wanaozingua harakati! Nash Vina mpaka Uchina
 
vigezo tafadhali yaha manbo ya list tu humu utajikuta unawachukia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…