Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Mweke Duke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roma
Stamina
Chakubanga wa buku 7
Ya moto band
Wozu
Mboso
Mr nice
20%
Wachuja nafaka
Bel 9
Shankupe wa mjin
Ze kokomanga
Lerionka
Kariankei
Yule Dogo wa kule mbeya simkumbuk
Chakubanga ww huo utumbo wako? ikiuma chomoa sawaa???Umeandika utumbo mwanzo mwisho.
Huyo namba 7 anajua kweli! Hawafagilii hata kidogo wangese wanaozingua harakati! Nash Vina mpaka UchinaHABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
vigezo tafadhali yaha manbo ya list tu humu utajikuta unawachukia watuHABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Kweli amtoe kiba jamaa anapanik mapema sanaMtoe Kiba
yule ni Dj au muimbajiToa platnumz weka Rommy jones
vigezo tafadhali yaha manbo ya list tu humu utajikuta unawachukia watu
HahahaAlikiba hajui kujieleza kabisa anachojua ni neno "its personal"
Young dMhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.
Diamond ft rommy jones and Fatma,jaribu isikiliza mkuuyule ni Dj au muimbaji
Yap huyu dogo anaweza sana, hapo anatolewa alikiba nafasi yake inachukuliwa na janjaroUmemsahau janjaro wewe
Yap ni kweli kanajidai kana hasira alafu na maneno machafu yenye kuudhiyoung dee kwenye interview nyingi huwa anapaniki sana yaani
Kuna ile interview alio mdiss ney aisee hatari huyu jamaaNikki mbishi zohan bonge genius speaker