"Its personal, its personal, its personal eyooo Ali K hapa"Nikiona interview ni Kiba huwa nabadilisha station, kila anachoulizwa hajibu mara it’s personal huwa najiuliza sasa kaenda kufanya nini si akae nyumbani tu awapishe wengine.
Diamond platinumz na rommy jons hawa sichoki kuwasikiliza
unjuuuNikki mbishi ndo hatari mzee
" akanivuuta geeto"Amber ruty
Baba Malcolmunjuuu
Huyu ni mtayarishaji midundo mkuuMweke Duke
Niliwahi kusikiliza Interview yake..... Haichoshi. Na Ommydimpoz.Umemsahau janjaro wewe
Huyu nae... Ana majibu yake Mjarabuu Kabisa. Hachoshi.Jay moe anakosaje
Na Majibu yake yale ya watoto wa Arachuga...... Hachoshi kumsikiliza.Kwa Fid hapana. Kuna interview moja Youtube alikuwa busy na smartphone yake tu. Na nikiona msanii anachagua interview, nyingine anakuwa serious na nyingine anapotezea. Msanii kama huyo namtia kwenye trash bin.
Dogo Janja namkubali sana kwenye interview. Huwa anajiachia miamia. Ni kama yuko kijiweni na chawa anapiga story tu. Anafunguka na hana tension kabisa. Aliulizwa ni nini anakimis baada ya kuoa. Dogo akasema anamisi sana kupiga chabo. Hahahahahaaaa!!!
Nakumbuka aliwahi kuulizwa na Mtangazaji Mtaani kwake wanamkubali vipj? Akajibu eti wakimuona ni Kama umeme umerudi Kitaa... Dogo Janja Enterview zake na enjoy sana.Anajua eeh?
Yes hao watu wako vizuri sana kwenye interviewNiliwahi kusikiliza Interview yake..... Haichoshi. Na Ommydimpoz.
HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
[emoji23] sijawahi msikiliza ...ngoja nimpekenyueNakumbuka aliwahi kuulizwa na Mtangazaji Mtaani kwake wanamkubali vipj? Akajibu eti wakimuona ni Kama umeme umerudi Kitaa... Dogo Janja Enterview zake na enjoy sana.
[emoji23] sijawahi msikiliza ...ngoja nimpekenyue
King kiba mtoe..! Huyo jamaa siwezagi kuangalia interviews zake. Five minutes only can make mad such that I might destroy the radio itself!HABARI MASIKU WAUNGWANA
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu hii ndiyo list ya wasanii wanaojua kujieleza kwenye interview zao kiasi hata ukisikia anahojiwa lazima utamani kusikiliza hyo interview
1:FID Q
2[emoji815] PLATNUMZ
3:YOUNG KILLER MSODOKI
4:NIKI MBISHI
5:NAY WA MITEGO
6:NIKI WA PILI
7:NASH MC(japo anajikuta mjuaji sana
8:ALI KIBA
9😛ROFESA JAY
10:CHIDI BENZ (japo weng mtakataa ila huyu jamaa ana0ngeaga vya maana sana ukitulia na kumsikiliza vizuri)
Niliona interview ya romy jones pale bbc akiwa na kikeke. Aisee huyu jamaa ni kama alipita kwenye chuo cha sanaa namna anavyojua kupangia maelezo..Nikiona interview ni Kiba huwa nabadilisha station, kila anachoulizwa hajibu mara it’s personal huwa najiuliza sasa kaenda kufanya nini si akae nyumbani tu awapishe wengine.
Diamond platinumz na rommy jons hawa sichoki kuwasikiliza