Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

Sijawi ona faida ya faida juu ya majiji ubishani wa majiji sijuwi. Haina tija, haisaii chochote. Zaidi naona watoa mada juu ya ubishani huu ni kukosa exposure au walienda shule kwaajili wasisumbue wazazi nyumbani. Badilikeni fikra na mitazamo toka enzi za zama za mawe.Hayo yote mliyotaja hapo ni maporini tu yenye majengo.
 
Hizi story nani anataka kusikia? Kikubwa mapato yote hayo yanatoka Arusha ambayo unaiita pori.
Mlitakiwa mkusanye mapato mengi zaidi kwani yanatoka mikoni mwa watalii wazungu, na nyinyi ndio kitovu cha utalii lakni bado mnachechemea, bila hap wazungu sizan kama mngewwza kufikisha bilion 100 kwa mzunguko hafifu wa kifedha uliopo hapo Arusha shukuruni sana wazungu, coz ngorongoro pekee inakusanya bilion 240, bado serengeti kama bilion 300 je wafanyabiashara wa arusha mnakusanya ngapi?
 
Umeongea ujinga mwingi sana kwenye hii mada!
 
hapo kwa tanga umechemka labda kwa mapenzi!!
 
Umemaliza πŸ˜„
Watakuja kubisha
 
Ukisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Hahah
Huu uzi wamelenga kuionesha arusha iko chini et namba nne πŸ˜„
Alafu mtoa mada anajificha eti uzuri wa mji sio magorofa kwahiyo uzur wa mji ni vile vijumba kama viberiti milimani mwanza au zile slums za mbeya
Sehemu nzuri ndio zinazotembelewa arusha, zanzibar, dar huko kwingine bado sanaa mwanza pale rock city mall wamefanya madarasa ya wanafunzi alafu wanajilinganisha na arusha πŸ˜„
 
Hata hujielewi unachoandika unavosema airport tunatumia KIA kwan hujui huo uwanja uko km 40 tu kutoka city centre ya arusha au ulivoskia Kia ukajua ni kama mwanza na bukoba
Bado hapo kuna airport ndogo ya arusha na yenyewe inapanuliwa na ndio ya pili kwa miruko mingi ya ndege na upo mjini kuna route zote local kwenda dar, zanzibar etc na air tanzania inatua uwanja mdogo wa arusha na jengo lake la abiria limeshakamilika
* Unasema hata shule za English medium za serikali hujui kama zipo unaonyesha wewe sio mtu wa data ni mtu wa kuchkua stori za vijiweni na kuzileta jamii forums πŸ˜„
*Arusha school ndio shule kubwa ya English medium ya serikali nchini na wamesoma watu wengi wazito ikiwemo mohamed dewji
*Arusha jiji ndio inaongoza kwa ufaulu kwa miaka zaidi ya mitano mfululizo we huogopi
*Sekondari kuna ilboru na kisimiri zote za serikali na kila mwaka zipo top 10
* Arusha ndio mji wenye International community kubwa nchini
*Arusha ndio mji wenye taasisi nyingi za kimataifa
*Makao makuu ya Afrika mashariki
*Mahakama ya Afrika
*Kuna International Schools zaidi ya 10
*Kuna kambi za jeshi zaidi ya 4
*Kuna mahoteli na supermarkets za kila kada, Kuna migahawa ya brands za kimataifa ambazo zipo dar tu kama pizza hut, KFC na subway
*Ndio mji namba mbili kwa makusanyo ya TRA nyuma ya Dar
*Ndio mji namba mbili kwa majengo mengi ya ghorofa
Sasa kaa hapo kijiweni mdanganyane arusha kuna chuo kimoja ni kichekesho πŸ˜† yani jiji la kimataifa liwe na chuo kimoja?
Kuna ESAMI hichi ni chuo cha Afrika kinatoa masters tu, kuna Ms Tcdc, kuna tumaini makumira main campus, kuna arusha technical college, kuna tma, kuna duluti kuna ustawi wa jamii tengeru nikianza kuvitaja hatutamaliza leo bado kuna Nelson Mandela University hapo bado Aghakhan wana eneo la kujenga chuo kikubwa Afrika
Hali ya hewa ya arusha ndio best tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ hakuna baridi ya kupausha kama mbeya wala joto
*Hatuhitaji maoni yenu kujua kama arusha ni bora mji ambao unamikutano ya kimataifa kila kukicha arusha ndio mji bora hapa nchini mkitaka kujifariji na vi thread vyenu wekeni hata arusha ni ya mwisho mjitekenye na kucheka wenyewe πŸ˜„
NB: Hayo maswala ya stendi na masoko ni kazi ya serikali kuu hakuna halmashauri hata moja imejenga stendi wala soko kwa hela zake mpanda na sumbawanga kuna stendi mpya unataka kusema ni pazuri kuliko arusha?
Na bado design za stendi ya arusha na masoko yanayojengwa zimeshatoka sjui mtajifichia wapi??
πŸ“Έ pichani uwanja wa samia, esami ,Nelson Mandela University
 

Attachments

  • Screenshot_20240820_181336_Chrome.jpg
    235.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240820_181434_Chrome.jpg
    529.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240820_181527_Chrome.jpg
    429.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240820_181404_Chrome.jpg
    794.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240820_181415_Chrome.jpg
    1 MB · Views: 4
Kwa kifupi hauhijui arusha.
 
Umemaliza chief πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…