Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Weka picha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa niaba ya serikali tutalifanyia kazi. Karibu tenaPambaneni na vumbi lenye trachoma.
Mlitakiwa mkusanye mapato mengi zaidi kwani yanatoka mikoni mwa watalii wazungu, na nyinyi ndio kitovu cha utalii lakni bado mnachechemea, bila hap wazungu sizan kama mngewwza kufikisha bilion 100 kwa mzunguko hafifu wa kifedha uliopo hapo Arusha shukuruni sana wazungu, coz ngorongoro pekee inakusanya bilion 240, bado serengeti kama bilion 300 je wafanyabiashara wa arusha mnakusanya ngapi?Hizi story nani anataka kusikia? Kikubwa mapato yote hayo yanatoka Arusha ambayo unaiita pori.
Jangwa nalo ni la kufanyiwa kazi acheni kuchekesha.Kwa niaba ya serikali tutalifanyia kazi. Karibu tena
Haya Cheka mwayaJangwa nalo ni la kufanyiwa kazi acheni kuchekesha.
😝😝😝😝Haya Cheka mwaya
Umeongea ujinga mwingi sana kwenye hii mada!Mwanza ipo kimakosa...hili jiji wakazi wake ni kama watumwa...ogopa jiji linalosifika kwa gharama nafuu za maisha jua hapo mzunguko wa hela uko chini mnoo...kampuni nyingi na viwanda vingi wanalipa mishahara kiduchuu sana, usiombe uajiriwe na wahindi au wachina sahau hata kujenga, nilishuhudia mtu analipwa ujira wa kibarua wa elfu 40 kwa mwezi kiwanda cha soda maarufu hapo Mwanza...kisa eti wanapewa chakula bure...bado ukisema ujiajiri biashara zao za kibaguzi sana, kama huongei kisukuma au kikurya na kijaluo utapata tabu sana 😢 na mgeni ukitoboa bado watataka wakuloge, wao kila kitu ni ushirikina tu, ni bora ukatesekee manzese utatoboa ila sio Mwanza utarudi ukiwa na shipa kisa ulikua umepatia channel....maeneo mengi mazuri Mwanza ukuchunguza source yake ni madini Geita au Foreigners.
Achana na vijana wa ovyo wanaokula kwa mashemeji zao.Umeongea ujinga mwingi sana kwenye hii mada!
hapo kwa tanga umechemka labda kwa mapenzi!!1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wachache wenye kampuni za utalii na migodi nje ya mkoa, si kwa wananchi wa kawaida
5. DODOMA
6. TANGA
Uzuri wa jiji sio majengo tu ya mjini, ni mnyumbuiko wa mambo mengi sana kama:
- Upatakanaji na unafuu wa Vyakula
- Mzunguko wa Pesa ndani ya jiji
- Hali nzuri ya hewa.
- Huduma ya maji
- Shule na vyuo
- Ajira-wingi wa Makampuni na Viwanda
- Stendi za Mabasi
- Viwanja vya ndege
- Hospitali
- Barabara
- Hoteli na Lodges
- Timu za mpira - Ligi kuu
- Kumbi za Starehe
- Uzuri wa makazi ya watu
- Usalama
- Masoko makubwa Mall na Supermarkets
Umemaliza 😄Mwanza ipo kimakosa...hili jiji wakazi wake ni kama watumwa...ogopa jiji linalosifika kwa gharama nafuu za maisha jua hapo mzunguko wa hela uko chini mnoo...kampuni nyingi na viwanda vingi wanalipa mishahara kiduchuu sana, usiombe uajiriwe na wahindi au wachina sahau hata kujenga, nilishuhudia mtu analipwa ujira wa kibarua wa elfu 40 kwa mwezi kiwanda cha soda maarufu hapo Mwanza...kisa eti wanapewa chakula bure...bado ukisema ujiajiri biashara zao za kibaguzi sana, kama huongei kisukuma au kikurya na kijaluo utapata tabu sana 😢 na mgeni ukitoboa bado watataka wakuloge, wao kila kitu ni ushirikina tu, ni bora ukatesekee manzese utatoboa ila sio Mwanza utarudi ukiwa na shipa kisa ulikua umepatia channel....maeneo mengi mazuri Mwanza ukuchunguza source yake ni madini Geita au Foreigners.
HahahUkisikia bangi ndo hizi! Unaweka slums kama mwanza na mbeya juu ya Arusha halaf unaweka allegations za kijinga kabsa kusupport hizi bang zako.
Hata hujielewi unachoandika unavosema airport tunatumia KIA kwan hujui huo uwanja uko km 40 tu kutoka city centre ya arusha au ulivoskia Kia ukajua ni kama mwanza na bukobaArusha stendi ya mabasi ya mikoani mpaka leo ni ndogo ile ya mjini, Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wanaotumia ndege wanatua Uwanja wa Kia, Mbeya kuna stendi za maana kwa watu wa kawaida na uwanja wa Ndege upo kwa wenye uwezo.
Arusha kielimu ipo nyuma kuna chuo kikubwa kimoja tu cha uhasibu (IAA) hata shule ya english za serikali sidhani kama ipo, Ukienda Mbeya kuna utitiri wa vyuo kama 12 hivi, Shule za kiingereza zipo nne za serikali, Private ndio usiseme ni utititiri, Arusha inawafaa wenye pesa zao wanasomesha zile shule za Braeburn milioni 30 kwa mwaka
Arusha kuna uhalifu wa hali ya juu, Huwezi linganisha na Mbeya
Arusha kuna mzunguko mdogo wa pesa, Matajiri ni wengi lakini vyanzo vyao vya pesa ni migodi ya nje ya mkoa. sio ndani ya Arusha.
Naishia hapo ila kuna mengi zaidi
Kwa kifupi hauhijui arusha.Arusha stendi ya mabasi ya mikoani mpaka leo ni ndogo ile ya mjini, Ni jiji zuri kwa watalii na matajiri wanaotumia ndege wanatua Uwanja wa Kia, Mbeya kuna stendi za maana kwa watu wa kawaida na uwanja wa Ndege upo kwa wenye uwezo.
Arusha kielimu ipo nyuma kuna chuo kikubwa kimoja tu cha uhasibu (IAA) hata shule ya english za serikali sidhani kama ipo, Ukienda Mbeya kuna utitiri wa vyuo kama 12 hivi, Shule za kiingereza zipo nne za serikali, Private ndio usiseme ni utititiri, Arusha inawafaa wenye pesa zao wanasomesha zile shule za Braeburn milioni 30 kwa mwaka
Arusha kuna uhalifu wa hali ya juu, Huwezi linganisha na Mbeya
Arusha kuna mzunguko mdogo wa pesa, Matajiri ni wengi lakini vyanzo vyao vya pesa ni migodi ya nje ya mkoa. sio ndani ya Arusha.
Naishia hapo ila kuna mengi zaidi
Hajui kitu huyo ni watu wa kuskiliza stor za vijiweniKwa kifupi hauhijui arusha.
Umemaliza chief 👍Hata hujielewi unachoandika unavosema airport tunatumia KIA kwan hujui huo uwanja uko km 40 tu kutoka city centre ya arusha au ulivoskia Kia ukajua ni kama mwanza na bukoba
Bado hapo kuna airport ndogo ya arusha na yenyewe inapanuliwa na ndio ya pili kwa miruko mingi ya ndege na upo mjini kuna route zote local kwenda dar, zanzibar etc na air tanzania inatua uwanja mdogo wa arusha na jengo lake la abiria limeshakamilika
* Unasema hata shule za English medium za serikali hujui kama zipo unaonyesha wewe sio mtu wa data ni mtu wa kuchkua stori za vijiweni na kuzileta jamii forums 😄
*Arusha school ndio shule kubwa ya English medium ya serikali nchini na wamesoma watu wengi wazito ikiwemo mohamed dewji
*Arusha jiji ndio inaongoza kwa ufaulu kwa miaka zaidi ya mitano mfululizo we huogopi
*Sekondari kuna ilboru na kisimiri zote za serikali na kila mwaka zipo top 10
* Arusha ndio mji wenye International community kubwa nchini
*Arusha ndio mji wenye taasisi nyingi za kimataifa
*Makao makuu ya Afrika mashariki
*Mahakama ya Afrika
*Kuna International Schools zaidi ya 10
*Kuna kambi za jeshi zaidi ya 4
*Kuna mahoteli na supermarkets za kila kada, Kuna migahawa ya brands za kimataifa ambazo zipo dar tu kama pizza hut, KFC na subway
*Ndio mji namba mbili kwa makusanyo ya TRA nyuma ya Dar
*Ndio mji namba mbili kwa majengo mengi ya ghorofa
Sasa kaa hapo kijiweni mdanganyane arusha kuna chuo kimoja ni kichekesho 😆 yani jiji la kimataifa liwe na chuo kimoja?
Kuna ESAMI hichi ni chuo cha Afrika kinatoa masters tu, kuna Ms Tcdc, kuna tumaini makumira main campus, kuna arusha technical college, kuna tma, kuna duluti kuna ustawi wa jamii tengeru nikianza kuvitaja hatutamaliza leo bado kuna Nelson Mandela University hapo bado Aghakhan wana eneo la kujenga chuo kikubwa Afrika
Hali ya hewa ya arusha ndio best tanzania 🇹🇿 hakuna baridi ya kupausha kama mbeya wala joto
*Hatuhitaji maoni yenu kujua kama arusha ni bora mji ambao unamikutano ya kimataifa kila kukicha arusha ndio mji bora hapa nchini mkitaka kujifariji na vi thread vyenu wekeni hata arusha ni ya mwisho mjitekenye na kucheka wenyewe 😄
NB: Hayo maswala ya stendi na masoko ni kazi ya serikali kuu hakuna halmashauri hata moja imejenga stendi wala soko kwa hela zake mpanda na sumbawanga kuna stendi mpya unataka kusema ni pazuri kuliko arusha?
Na bado design za stendi ya arusha na masoko yanayojengwa zimeshatoka sjui mtajifichia wapi??
📸 pichani uwanja wa samia, esami ,Nelson Mandela University
Sio kweli Arusha mzunguko wa fedha upo juu. Inafuata baada ya Dar. Pia kuna utalii wenye mnyororo mrefu wa thamaniNi kweli, Arusha ina matajiri wengi ambao ni wafanya biashara wenye migodi nje ya Arusha na wageni wa nchi za nje wanaofanya kazi UN.
ndani ya jiji mzunguko wa pesa ni mdogo sana
Hata miji hiyo nayo haina hadhi ya kuitwa ma-Jiji, ni vijiji vikubwa vilivyokosa Mipango-mijiTanga na Mbeya zitoe hapo hayo sio majiji ni manispaa zilizopiga hatua, majiji Tanzania ni 2 tu;
Dar es Salaam
Mwanza