Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hawa NIDA wanatatizo kiukweli. Jana nimeenda NBC bank kufungua akaunti, ndani ya dakika 15 nilijaza taarifa zangu zikaingizwa ndani ya mfumo nikapewa ATM card. NIDA wangejifunza NBCNIDA
NIDA, Uhamiaji, RITA wakifanya mnayotaka nyie wasio Watanzania watapewa Utanzania.Hawa NIDA wanatatizo kiukweli. Jana nimeenda NBC bank kufungua akaunti, ndani ya dakika 15 nilijaza taarifa zangu zikaingizwa ndani ya mfumo nikapewa ATM card. NIDA wangejifunza NBC
NIDA wanafanya makosa mengi sana mkuu huwezi kuwatetea. Mimi binafsi kitambulisho changu cha NIDA kwanza kimekosewa mwaka wa kuzaliwa.NIDA, Uhamiaji, RITA wakifanya mnayotaka nyie wasio Watanzania watapewa Utanzania.
Uhuru umekuzidi uwezo wakoMi naanza na Ikulu, bunge, mahakama, NEC, Polisi, TISS, JW na Magereza
Unadhani Watanzania wameelimika?Uzi umetaja mashirika, comments zimejaa taasisi zisizo mashirika...
Mkuu kwanini TTCL na ATCL?TTCL na ATCL na gauni la Tulia pale bungeni.
Bunge ni shirika?!ππBunge
Bora hata lingekuwa shirika lingekuwa na mkurugenziBunge ni shirika?!ππ
Ni kweli hili ni tatizo kubwa na linasababishwa na kutokua na elimu ya kutosha. Mkuu niamini kusoma hadi level fulani haimaanishi ndio una elimu.Mkuu tatizo kubwa la kukwama kwetu sio mashirika bali ni sisi watu na mifumo yetu...
Sisi wabongo ni wavivu, walafi kama mchwa na wabinafsi...
Tunasoma vizuri shule, tunapata utaalamu kwenye fani mbalimbali lakini tukishakabidhiwa vitengo ufanisi zero...