Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

Aisee hii ndio naita Hubrus au kudhani unajua wakati haujui ?

Umeme ni nini ? Nishati ni nini ? ukifungia watu Solar na kuwapa Huduma wanapata nini ?, Na wale waliosign mikataba ili wawauzie TANESCO Nishati waweke kwenye GRID wanafanya nini ? DOWANS walikuwa wanafanya nini ?

Au unataka upewe Kibali na uweke na kumiliki nguzo zako na ma-transformer kila kona ? (ukipewa ufanye hivyo utahakikisha usalama) ? Na je kila mtu akifanya miundombinu itakuwaje...

Au hujui Historia ya Direct Current kwa kwamba kuna kipindi huko USA kila mtu alikuwa na waya zake kutoka kwenye battery kwenda kwa mteja hence miji yote ikawa na utitiri wa nyaya ?

Hivi unajua vizuri Ins and Outs za Uzalishaji ? Na hata huko walipobinafisha haya mambo unajua wamebinafsisha nini ?
Huu ndio tunaita ushughurishaji wa ubongo. Huwezi ruhusu kila mtu ajizalishie umeme wake na kujisambazia kwa wateja, tukifanya hivyo mbona tutajaza nguzo, nyaya na transformer kwenye mitaa yetu tukose hata pakupita.
 
Wanabodi wa jamii forums,

Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana.

1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na huku tunalipia fedha zetu za bill. Tusipolipa kwa wakati wanatufungia huduma ya maji lakini wao wakikata maji hatuwezi wafanya chochote.
2.
3.
4.

Mimi nimeanza na hilo moja, kama unalijua lingine liweke hapa toa na sababu kwanini hilo shirika libinafsishwe. Wapi linapopwaya.

Usisahau kutaja shirika:
Ambalo tukibnafsisha hata haliumi
CCM
 
Back
Top Bottom