Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
Kwanini mkuu umeyataja haya.Tanesco
TPB
TTCL
TARI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu umeyataja haya.Tanesco
TPB
TTCL
TARI
Mkuu hongera kwa mawazo mazuri yamenijenga vilivyoKwanini uwe na mawazo ya kuwapa wageni, wakati tuna soko letu la hisa DSE? Serikali iuze hisa zake wadau tuzinunue, tuteuwe board tunayoiamini ili itusaidie kupata management yenye ufanisi.
Utendaji kazi wao ni wa kizamani sana hauleti tija Wala faida kwa inchi hiii, yafumuliwe kuwe na mfumo wa kisasa zaidi kuongeza ufanisiKwanini mkuu umeyataja haya.
Hata tanesco...maana tunaambiwa ni letu, ni umma, blah blah...lakini kiukweli kuna watu wameingiza mirija humo shirika liko hoi bin taaban, asilimia kubwa ya mapato yake wahuni na ccm yao wananyonya wanabakiziwa mishahara tu.Wanabodi wa jamii forums,
Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana.
1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na huku tunalipia fedha zetu za bill. Tusipolipa kwa wakati wanatufungia huduma ya maji lakini wao wakikata maji hatuwezi wafanya chochote.
2.
3.
4.
Mimi nimeanza na hilo moja, kama unalijua lingine liweke hapa toa na sababu kwanini hilo shirika libinafsishwe. Wapi linapopwaya.
Usisahau kutaja shirika:
Ambalo tukibnafsisha hata haliumi
Bunge pia libinafsishwe maana tuna wawakilishi vilazaWanabodi wa jamii forums,
Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana.
1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na huku tunalipia fedha zetu za bill. Tusipolipa kwa wakati wanatufungia huduma ya maji lakini wao wanakata maji hatuwezi wafanya chochote.
2.
3.
4.
Mimi nimeanza na hilo moja, kama unalijua lingine liweke hapa toa na sababu.
Hao watu Binafsi kwanini wanasubiri wapewe TANESCO kwanini wasianzishe Electric Generation (Solar; Hydrogen to name just a few)....Hata tanesco...maana tunaambiwa ni letu, ni umma, blah blah...lakini kiukweli kuna watu wameingiza mirija humo shirika liko hoi bin taaban, asilimia kubwa ya mapato yake wahuni na ccm yao wananyonya wanabakiziwa mishahara tu.
hayo maswali ni sahihi kabisa kuwauliza watawala na ccm yao. Kwa nini hao wahuni waliochomeka mirija humo tanesco wasipewe leseni waanzishe makampuni ya umeme? mbona nchi zingine zimeweza kuwa na makapuni ya umeme zaidi ya moja?Hao watu Binafsi kwanini wanasubiri wapewe TANESCO kwanini wasianzishe Electric Generation (Solar; Hydrogen to name just a few)....
Unadhani TANESCO ikichukuliwa na Private Sector (Profit ndio the only objective) itakuwaje ndio bei itashuka ? Je kule ambapo hakuna wateja wenye faida watapeleka miundombinu hence kufanya kazi ya Kanisa ?
Kwahio kuzuia wahuni wa CCM wasiibe ni kuwauzia WAHUNI wa CCM ?!!!!
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...www.jamiiforums.com
SIDO halina tija linaongozwa bila taratibu,kanuni wala sheria.Wanabodi wa jamii forums,
Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana.
1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na huku tunalipia fedha zetu za bill. Tusipolipa kwa wakati wanatufungia huduma ya maji lakini wao wakikata maji hatuwezi wafanya chochote.
2.
3.
4.
Mimi nimeanza na hilo moja, kama unalijua lingine liweke hapa toa na sababu kwanini hilo shirika libinafsishwe. Wapi linapopwaya.
Usisahau kutaja shirika:
Ambalo tukibnafsisha hata haliumi
Shida watanzania wengi hatuna makaratasi rasmi kama vyeti vya kuzaliwa,shule etcLakini mkuu verification inaweza kufanyika kwa muda mfupi. Au wewe unasemaje
Tanzania umekatazwa ? Mobisol na wengineo kwani hawafanyi / hawakufanya ?hayo maswali ni sahihi kabisa kuwauliza watawala na ccm yao. Kwa nini hao wahuni waliochomeka mirija humo tanesco wasipewe leseni waanzishe makampuni ya umeme? mbona nchi zingine zimeweza kuwa na makapuni ya umeme zaidi ya moja?
Kisa walikusumbua kupata passport 🛂Uhamiaji 🙌
Mkuu una maswali mazito sanaTanzania umekatazwa ? Mobisol na wengineo kwani hawafanyi / hawakufanya ?
Na tunabinafisha nini ? Bwawa la Uzalishaji ? Miundombinu au ? Au tunabinafsishwa uendeshaji kama tulivyofanya / tutakavyofanya bandari ili watu watukusanyie wapate faida mwisho wa siku watupe kinachobaki ?
Kwani mpaka sasa Tanesco haitoi tender (ingawa ni tender za kunufaishana matumbo) nina uhakika hizo nguzo, kandarasi n.k. zote ni Tender (jambo ambalo sio baya kama mwisho wa siku kungekuwa na utekelezaji na utendaji ungekuwa na accountability)
Sasa kama tunajua tatizo ni utendaji na accountability haipo kwanini tusitibu huo ugonjwa ? Kwahio Tuuze Kampuni yote kwa watu ili wafanye wakiiba tutaweza kuwabana ? (Au wakisema tunapata Hasara tuongeze Gharama) mtabisha au itabidi Kodi zenu zitumike kuwapa Ruzuku ?
Na Kama Privatization inasaidie kwenye ushindani ni nani atachukua miundombinu au ndio kila mtu ataweka nguzo zake na waya zake ? Na je watoa huduma wakiwa watatu watashindwa kufanya Cartels ?
aise wewe ni mbumbumbu wa kiwango cha uprofesa. TZ hakuna sheria inayoruhusu uanzishwaji wa shirika la ugavi wa umeme kwa sasa zaidi ya TANESCO. Hakuna. Au umezaliwa jana?Tanzania umekatazwa ? Mobisol na wengineo kwani hawafanyi / hawakufanya ?
Na tunabinafisha nini ? Bwawa la Uzalishaji ? Miundombinu au ? Au tunabinafsishwa uendeshaji kama tulivyofanya / tutakavyofanya bandari ili watu watukusanyie wapate faida mwisho wa siku watupe kinachobaki ?
Kwani mpaka sasa Tanesco haitoi tender (ingawa ni tender za kunufaishana matumbo) nina uhakika hizo nguzo, kandarasi n.k. zote ni Tender (jambo ambalo sio baya kama mwisho wa siku kungekuwa na utekelezaji na utendaji ungekuwa na accountability)
Sasa kama tunajua tatizo ni utendaji na accountability haipo kwanini tusitibu huo ugonjwa ? Kwahio Tuuze Kampuni yote kwa watu ili wafanye wakiiba tutaweza kuwabana ? (Au wakisema tunapata Hasara tuongeze Gharama) mtabisha au itabidi Kodi zenu zitumike kuwapa Ruzuku ?
Na Kama Privatization inasaidie kwenye ushindani ni nani atachukua miundombinu au ndio kila mtu ataweka nguzo zake na waya zake ? Na je watoa huduma wakiwa watatu watashindwa kufanya Cartels ?
😅Kisa walikusumbua kupata passport 🛂
Hawana shida ni pesa yk tu
Aisee hii ndio naita Hubrus au kudhani unajua wakati haujui ?aise wewe ni mbumbumbu wa kiwango cha uprofesa. TZ hakuna sheria inayoruhusu uanzishwaji wa shirika la ugavi wa umeme kwa sasa zaidi ya TANESCO. Hakuna. Au umezaliwa jana?
Wake up!
Hawa NIDA wanatatizo kiukweli. Jana nimeenda NBC bank kufungua akaunti, ndani ya dakika 15 nilijaza taarifa zangu zikaingizwa ndani ya mfumo nikapewa ATM card. NIDA wangejifunza NBC