MkuuView attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
100% perfectYeah kama raia wema tupiganie hilo.
Kwenye mikutano ni sehemu ndogo sana ya kuangalia mahusiano ya polisi na raia ukilinganisha na maisha ya kila siku huku mtaani.Sasa hayo sio mahusiano mema? Au hao waliojaa hapo kwenye mikutano sio rai ni Nzi??
Huo ni mwanzo tu na dalili njema. Yajayo yanafurahisha mbele ya Rais Dr SamiaKwenye mikutano ni sehemu ndogo sana ya kuangalia mahusiano ya polisi na raia ukilinganisha na maisha ya kila siku huku mtaani.
Waweke uwanja sawa tu. Kama pm akishinda sawa haina shidaAtaweza kupambana na PM huyo CCM inasuka mipango kwa weledi sana 😂😂😂
View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mahusiano mabovu ya polisi na raia mwema ni tatizo la muda mrefu, labda kama unazungumzia mahusiano ya polisi na wanasiasa.Huo ni mwanzo tu na dalili njema. Yajayo yanafurahisha mbele ya Rais Dr Samia
Tunayazungumzia ya sasa , yakija mengine tutazungumza tofautiMkuu
Muda na wssaa utawadia itatoka amri moja tu mtawwona hao ndugu zetu walivyo na unasaba wa kinyonga.....
Mziki bado haujatuingia mifupani sisi CCM, subiri kidogo tu mtaona rangi tuliyozoea......
But nafurahia uhuru wa kujumuika na kutoa maoni
Ni taasisi gani inatoa hiyo Tuzo ?Mtoa mada naomba upewe tuzo ya propaganda.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Enzi za shetan Maguful huyo soldier kazi ingemshinda. MI NAKULIPA MSHAHARA WE UNAENDA KUCHEKA NA MBOWE
Nini maana ya operation 255. Na itakuwepo kwa muda gani?View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwani hapo huyo soldier kafanya jambo ambalo Samia halipendi? Kama Samia angekuwa hataki hivyo na huyo soldier pia asingefanya.Enzi za shetan Maguful huyo soldier kazi ingemshinda. MI NAKULIPA MSHAHARA WE UNAENDA KUCHEKA NA MBOWE