Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Uchawi upo ila kuthibitika kwa macho ndio tatizo, mwaka 2015 wakati niko Mkoani Mtwara, niliwahi kufanyiwa jambo(babu akawa hasimami), first time nikahisi pengine ni mawazo lakini nilikata wiki nzima hakuna mnara
Babu kuto simama ukajuaje ni uchawi ?
 
Ili ulogeke ni lazima uruhusu kulogwa ni lazima ufungue milango ya wewe kulogwa,kwa kuwa kwenye frequency za chini.
Ukitembea kwenye frequency za juu hao wapumbavu hawakufanyi kitu.
Thus wachawi wa kiafrika hawakuwaweza wakoloni kwa sababu wao wanatembea kwenye frequency za juu wachawi wapo kwenye frequency za chini.
 
Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua?

...............................

Majibu yangu? 👇👇👇👇👇

Kwa sababu Siri kubwa iliyopo miongoni mwa wachawi waliopo Kwenye vyama vya kichawi ni kwamba uchawi hauna nguvu yoyote. Uchawi ni takataka. Uchawi hauwezi kumdhuru mwanadamu kwa namna yoyote ile. ..

Hiki ndio kitu cha kwanza kabisa anacho ambiwa initiate kwenye uchawi kwamba 👇👇👇👇


" Uchawi hauna nguvu yoyote na hauwezi kumdhuru mwanadamu kwa namna yoyote ile so usiende kuwa kiburi huko ukitegemea kwamba uchawi utakusaidia. "

So huyu mtu akijitoa kwenye uchawi lazima wamuue kwa sababu wanajua lazima ataenda kutoa Siri hii kwa watu wengine. Na akitoa Siri hiyo anakuwa ame jeopardize uhai wa wachawi hao kwa sababu Siri hiyo ita wapa confidence watu walio kuwa wanao gopa uchawi na wachawi.

Watu Hao wataenda kupambana na wachawi / kuwaua etc.

So, uchawi is more of a " Psychological weapon".


Wanawauaje sasa watu wanao toa Siri?

Wachawi hufundishwa kuhusu miti mbalimbali ambayo ni sumu zenye kuua au kusababisha magonjwa mbalimbali.

Mfano kuna mmea akiwekewa mjamzito kwenye chakula au kinywaji ujauzito huo unachoropoka. So MTU ambae hataki wewe uzae anakuwa anasubiri tu wewe ukipata ujauzito anakuwekea hiyo dawa ujauzito unachoropoka.

Kuna mimea MTU akilishwa Ina haribu kongosho na hivyo kupelekea mhusika kupatwa na shida ya kisukari...


Ninacho kisema ni kwamba mchawi Hana uwezo wa kusababisha jambo akiwa mbali kwa mfano mchawi yupo Kigoma na mkusudiwa yupo Dar, huyu mchawi hawezi kufanya jambo lake akiwa Kigoma likamdhuru aliepo Dar. Ili afanikiwe inabidi asafiri Hadi Dar unapoishi akuvizie akuwekee hiyo dawa( sumu) yake kwenye chakula au kinywaji chako.

Ndio maana wanasemaga " Anae kuroga hatoki mbali" Sababu ni hiyo ili huyu mchawi afanikishe jambo lake ovu kwako ni lazima amtumie mtu wa karibu na wewe akulishe hiyo sumu.


Uchawi = Husda + Roho Mbaya.


Mchawi = Mtu mwenye husda + Roho Mbaya.



Thank me later

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mchawi Ili akuroge Lazima Apandikize Hofu akufanyie psychs Akuchanganye Psychology ili Uogope na Akutawale
 
Ukiona unalogeka kagua njia zako upo kwenye frequency za chini kwa maana wewe ni mchafu kiroho kimwili na kinafsi ukiwa msafi unakuwa na Nuru halisi hawawezi hata kukugusa hao wapumbavu
 
Back
Top Bottom