Nilianza kuandika mada kuhusu uchawi kabla sijaanza kuandika kuhusu Kayumba labda kama mgeni JF.Mmmh umeanza KUTUPANGA...mambo ya Kayumba yamekushinda umehamia kwenye uchawi
Yakikupata utaaminiUchawi haupo ,nakaribia nusu karne duniani nausikia tu kama dhana ,kama upo Thibitisha hapa.
Hakuna kitu you was we Kayumba.....ni You were kwa sababu hiyo ni second-person pronoun ambayo inakuwa plural form ya "verb to be"hujachalewa lkn wahi kwa Ras SimbaHii tumeikataa. Kama ni mmoja inapaswa kuwa " U was" and not u were.
#English as it is supposed to be
Sawa bwana mchawi mi nilikujua kwa ajili ya kayumbaNilianza kuandika mada kuhusu uchawi kabla sijaanza kuandika kuhusu Kayumba labda kama mgeni JF.
As a matter of fact. Mambo ya Kayumba hayajanishinda. Kayumba tumeshinda 3 bila na mpira umeisha.
Kwa muda nipo duniani nimeaminishwa upande mmoja tu wa MunguWhy do u want to contact with devils?
Hivyo vitu unavyo niambie navijua toka 94 nikiwa la 3. Of course upo sahihi kabisa, officially inapaswa kuwa " You were " .Hakuna kitu you was we Kayumba.....ni You were kwa sababu hiyo ni second-person pronoun ambayo inakuwa plural form ya "verb to be"hujachalewa lkn wahi kwa Ras Simba
Hakuna kitu " you was"Hivyo vitu unavyo niambie navijua toka 94 nikiwa la 3. Of course upo sahihi kabisa, officially inapaswa kuwa " You were " .
But I say inapaswa kuwa " You was kama unazungumza na mtu mmoja "
Ndo maana nikaita " English as it is supposed to be "
Hata jamaa zako unao waabudu " African Americans " when they talk unofficially na wakiwa wana mrefer mtu mmoja, husema " You was " Instead of " You were"
Anyways hujasoma " The History of English "
Nilisomaga " HKL" Advance na nimesoma vitabu kuhusu " English Language" zaidi ya mia4.
Naijua English kama Mimi ndo nimeianzisha vile.
Aah sawa Nabii😅Mimi sio Mchawi. Hakuna uchawi duniani. Unaniitaje tena mchawi wakati nimesema hakuna uchawi?