Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Sidhani coz hata huko upande wa pili sikwenda kwa kutaka mwenyewe, nilikwenda tu kwa nia ya kutoa lawama tu kwa aliyenipeleka.. Maana sikuwa muumini wa haya mambo
Hao waganga sikati wapo na wengi wanatumia miti shamba tu na watu wanapona na wale wanaagua kwa maneno ni kuweka tu saikolojia yako sawa ,na mambo yanakaa poa wewe unaona ni uchawi wakati ni kawaida tu
 
Na agree, maana aliyenitibu hakutumia uchawi alinipa unga unga tu alisema umetokana na miti fulani porini. Issue inakuja aliyesababisha lile jambo ndio aliniwazisha na kuamini kuw ni uchawi.
 
Yeah hizo ni imani tu bro mimi kwenye ujana wangu huko nilisha pitia na nikaamini kama wewe tena hata zaidi.

Pia katika ubongo kuna hili jambo .

Mimi mzee Wangu Father huwa haaamini katika magonjwa .

Yeye akiumwa ile Sana anakuambia I'm OK

Na anakuambia nimepona
Akipelekwa hosptali anakaa siku moja

Mwaka 2021 siku ya mwaka mpya nilimpeleka Temeke hosptali yupo serious haongei

Wakampa huduma za hapa na pale Ila baada ya hapo alipata relief fulani.

Then akasema nimepona nataka nimpeleke nyumbani .

So I learn something com there

Ana 68 yrs
Yupo fiti kabisa.

Nilichoona hapa ni kuwa uki-Accept jambo linakuwa na ukilikataa haliwi

Maana madaktari walinambia mzee wako ana kisukari , mara pressure wakasema anabidi awe admitted to Mrongazila.

Ila matibabu yake yaliishia siku moja and now yupo OK miaka karibu minne sasa .

So kwenye ubongo kuna kupona
 
Baada ya kuangaika zahanati ya pale kijijini, mpaka hospital ya wilaya Masasi(mkomaindo) mambo bila bila nikakutana na mpaka mtaalamu wa saikolojia.. mambo bila bila, nikaja kuponea kwa mganga..
Yaani ishu ya kudindisha unaipeleka zahanati kweli!? Bado ukatoka zahanati ukaenda zahanati iliyochangamka. Baada ya hapo fyuuuuu kwa sangoma!

Huu ni utaratibu wa watz wengi. Hata mtu akifa utasikia "marehemu alirogwa, tulienda hospitali hawakuona ugonjwa ikabidi twende kwa mganga, na tunamjua aliyefanya hivyo". Kumbe walienda zahanati au kituo cha afya mgonjwa akapimwa malaria wakati ana saratani ipo stage 4.

Wale watumishi wa hivyo vituo nao sijui huwa wanakwama wapi, vipimo vyao visipowaonesha hizo malaria, typhoid na UTI zao walizozipima hazimo wanatoa majibu kuwa hakuna ugonjwa na kutoa dawa za maumivu badala ya kumshauri mgonjwa aende hospitali kubwa kwa vipimo zaidi.
 
Ndugu yangu mazingira pia yalichangia, i mean watu waliokuwa wananizungua wametawaliwa na hizo imani kwahyo hata kwenda hosptal ni kwa ubishi wangu ila ningewafuatisha, first ingekuw kwa sangoma
 
Back
Top Bottom