Pia katika ubongo kuna hili jambo .
Mimi mzee Wangu Father huwa haaamini katika magonjwa .
Yeye akiumwa ile Sana anakuambia I'm OK
Na anakuambia nimepona
Akipelekwa hosptali anakaa siku moja
Mwaka 2021 siku ya mwaka mpya nilimpeleka Temeke hosptali yupo serious haongei
Wakampa huduma za hapa na pale Ila baada ya hapo alipata relief fulani.
Then akasema nimepona nataka nimpeleke nyumbani .
So I learn something com there
Ana 68 yrs
Yupo fiti kabisa.
Nilichoona hapa ni kuwa uki-Accept jambo linakuwa na ukilikataa haliwi
Maana madaktari walinambia mzee wako ana kisukari , mara pressure wakasema anabidi awe admitted to Mrongazila.
Ila matibabu yake yaliishia siku moja and now yupo OK miaka karibu minne sasa .
So kwenye ubongo kuna kupona