Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Uchawi upo ila kuthibitika kwa macho ndio tatizo, mwaka 2015 wakati niko Mkoani Mtwara, niliwahi kufanyiwa jambo(babu akawa hasimami), first time nikahisi pengine ni mawazo lakini nilikata wiki nzima hakuna mnara
Babu kuto simama ukajuaje ni uchawi ?
 
Ili ulogeke ni lazima uruhusu kulogwa ni lazima ufungue milango ya wewe kulogwa,kwa kuwa kwenye frequency za chini.
Ukitembea kwenye frequency za juu hao wapumbavu hawakufanyi kitu.
Thus wachawi wa kiafrika hawakuwaweza wakoloni kwa sababu wao wanatembea kwenye frequency za juu wachawi wapo kwenye frequency za chini.
 
Mchawi Ili akuroge Lazima Apandikize Hofu akufanyie psychs Akuchanganye Psychology ili Uogope na Akutawale
 
Ukiona unalogeka kagua njia zako upo kwenye frequency za chini kwa maana wewe ni mchafu kiroho kimwili na kinafsi ukiwa msafi unakuwa na Nuru halisi hawawezi hata kukugusa hao wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…