Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

Nakazia hapo
 
Ufafanuzi zaidi hapa.
 
Na inawezekana wachawi ndio huwa wanazusha, kuwa fulani kamuua fulani, lengo kumpa sifa mwenzao.
 
Umeandika vitu rahisi sana kuhusu Uchawi.

Na hili linachangiwa na vijana wa sasa kujifanya mnajua kila kitu.

Mdogo wangu sikiliza!
Unaweza kulogwa ukiwa popote duniani tena mlogaji anaweza akawa yuko chitoholi ndani ndani mlogwaji akawa hata America au China kinachotakiwa ni details zako tu.

Tatizo lenu mmezaliwa hamjawakuta babu zenu kwa hiyo hamna Elimu ya Mambo ya jadi.
 
Frequency ni hisia kuna za juu na za chini.Hofu na kuogopa ndio milango mikuu ya kuruhusu uchawi kupenya mwilini mwako.
Ila msiwachokoze wachawi ukiwachokoza umeruhusu nguvu itaingia kwa sababu umefungua milango mwenyewe.
Mitetemo au hisia za juu ni kama kuwa amani, upendo, Imani,kuwaza mazuri.
Mitetemo au hisia za chini ni kama kuishi maisha ya chuki,wivu, hasira, uzinzi, lawama,manunguniko,huzuni,kuwaza mabaya tu, matendo mabaya,kukata tamaa,dhuluma nk hapa wewe ni mteja wa wachawi ni lzm wakushughulikie hasa kwa sababu upo uchi kiroho.
 
Toa shule ye kachokoza mada tu
 
Uchawi is an idea. Ukiamini upo lazima utakudhuru usipoamini hauwezi ukakudhuru.

Kuna siku nilienda kijiji fulani huko Mara wenyeji waliniambia nisile nje yaani nile ndani ya nyumba walisema nikila nje nitapigwa zongo. Ila guess what nilikuwa nakula nje na nilikula hadi maembe kwenye miti ya watu na sikupata tatizo lolote. Hadi wenyeji wa pale walinishangaa sana.
 
Uchawi haupo ,nakaribia nusu karne duniani nausikia tu kama dhana ,kama upo Thibitisha hapa.
Upo mwingi sana,kakae mikoa ya Mbeya leta jeuri uone km hujalala juu ya bati daily.
Na ukiendelea wanakupika wakule Supu kabisa.
Labda wamepunguza sasa
 
Upo mwingi sana,kakae mikoa ya Mbeya leta jeuri uone km hujalala juu ya bati daily.
Na ukiendelea wanakupika wakule Supu kabisa.
Labda wamepunguza sasa
Ujinga ujinga tu wakutishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…