Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

Roho ni nguvu ya uhai ya mwanadamu au kiumbe chochote kilicho na uhai. Ile nguvu ya uhai " force of life " ya mwanadamu au kiumbe hicho ndio inayo itwa roho.
Kwa definition hii heading ya thread haileti maana.

Tuondoe neno "roho" tuweke maneno "nguvu ya uhai"

"Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu"

"Hii ndio sababu ya kinguvu ya uhai kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu"

BONKERS!
 
Kutoamini kama kuna Mungu ni kuchanganyikiwa ?
Huyo jamaa akishindwa hoja analeta viroja na vituko na hiyo anafikiri ndiyo inakuwa salama yake.

Kumbe anazidi kujionesha alivyo hamnazo.
 
Kwa definition hii heading ya thread haileti maana.

Tuondoe neno "roho" tuweke maneno "nguvu ya uhai"

"Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu"

"Hii ndio sababu ya kinguvu ya uhai kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu"

BONKERS!
I told u nikka Ur so predictable. Umeuliza roho NI nini nimekujibu then unaleta blaah blaah
 
Huyo jamaa akishindwa hoja analeta viroja na vituko na hiyo anafikiri ndiyo inakuwa salama yake.

Kumbe anazidi kujionesha alivyo hamnazo.
Wewe ndio umeshindwa hoja.

Hamnazo NI jina la.ubini uzaramuni. Nenda pale Msanga ngongere akina Hamnazo wapo wengi Sana.
 
Watu wanapenda sana kurukia ghorofa ya kumi wakati hata msingi hawajatueleza ukoje.

Katika majadiliano ya watu wanaojali mambo kwa kina, kabla ya kujadili kuhusu roho, inabidi kuweka definition.

Kwa sababu, kwa mfano, katika Kiingereza, neno "spirit" linaweza kumaanisha roho, na neno hilo hilo linaweza kumaanisha kinywaji kikali cha pombe.

Sasa, ukiniambia spirit ni kinywaji kikali cha pombe, siwezi kukubishia kipo.

Lakini ukiniambia spirit ni roho, hapo itabidi tuelezane zaidi.

Ndiyo maana nikauliza, kabla ya kwenda zaidi kimepanda kimeshuka...

Roho ni nini? Naweza kuthibitishiwa kwamba roho ipo na si hadithi za uongo za watu tu?

Mpaka sasa sijaona jibu.
Umeshajibiwa wewe wacha kubwabwaja
 
Hilo swali umeuliza mara nyingi Sana na.nimekujibu mara nyingi Sana. Sijui tatizo lako NI nini wewe?
Kama umejibu mara nyingi sana, hilo litakufanya uwe na mifano mingi sana ya kunionesha ulipojibu.

Ukisema umejibu mara nyingi sana, bila kuonesha ulipojibu, watu watajuaje kwamba umejibu kweli?

Au mimi nawezaje kufanya uhakiki kama umejibu kweli, au unafikiri tu umejibu?

Weka ushahidi hapa unioneshe ulipojibu, kama umejibu kweli.
 
Ur playing back and forth games just like girls who play hard to get when being seduced.
 
Kwahiyo Francis Cheka tumpe muda gani kabla hajawa mental kabisa?

Na mbona hizi mambo zinaapply hapa Tz (Kama ni kweli) wakati huko kwenye tamasha la Roskilde watu wanaokota chupa kama hawana akili nzuri na hakuna anayewehuka?
Hivi Francis Cheka mara ya mwisho alisikika lini? Inadaiwa alikuwemo kwenye ile ajali ya Lori la Mafuta Morogoro. Tangu hapo habari zake hakuna.
 
Huu sio ukweli namshukuru mungu nilipoporomoka kimtaji niliokota makopo usiku wa manane bila kuogopa nilikwenda usiku sana ili nisionwe niliuza kwa wachina na sijawa kichaa mpaka Leo ila nilipata Bahati yakuokota million mbili Cash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom