Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia


Tafadhali futa hilo neno, weka "washenzi", hakuna Mswahili mwenye mambo ya kijinga, Waswahili ni wastaarabu hawana hayo mambo ya kishenzi. Usiuhusishe uswahili na ushenzi.

Waswahili ndiyo waliokupa ustaarabu wewe mpaka leo hii unaandika Kiswahili.
 
Tafadhali futa hilo neno, weka "washenzi", hakuna Mswahili mwenye mambo ya kijinga, Waswahili ni wastaarabu hawana hayo mambo ya kishenzi. Usiuhusishe uswahili na ushenzi/

Waswahili ndiyo waliokupa ustaarabu wewe mpaka leo hii unaandika Kiswahili.
Nyuma kabisa unatafutiwa kubondwa za uso maana alipotaja waswahili moja kwa moja ukawahusisha waswahili na ile jamii yenu ya Asia ya wavaa kobazi+wavaa ushungi, hao watu walibaka na kuua babu+bibi zetu, unawatetea sana hao ndugu zako ktk imani ya mnyaazi.

Uswahili sio chimbuko la ustaarabu rudi shule kasome, ustaarabu ulishakuwepo hata kabla ya kuibuka kwa Hiyo swahili civilisation ambayo imeundwa na bantu's Origin from Central Afrika, Congo, south afrika then back to east Africa via the bantu's movement.

Someni jamani mnaitia aibu jamii forum
 
Mtoa mada meengi ya uliyoyaandika hayana ukweli na ni uzandiki tuu
Uko sawa, mf lami iko mpk kibondo na barabara inapita katikati ya kambi ya wakimbizi ya Nduta na inaenda mpk karibia na kifula. Kisha unaikutia busunzu mpk Mt.Malagarasi. pale ni vumbi kwakuwa ndio wanaunganisha madaraja. Baada ya hapo ukifika mkuyuni unakutana na lami mpk yachenda.
 
Niambie mrembo habari!
 
Watu wa kigoma, hivi na bukoba si ipo huko huko
Bukoba to kigoma ni mwendo wa masaa 13 Hadi 15...unatoa Bukoba saa 12 asubuhi unafika kigoma saa mbili usiku....

Kulinganisha Bukoba na kigoma ni mbingu na Ardhi..... Bukoba sasa wanachozidiwa na kigoma ni stendi ya mabasi ( japo naona siku hiz Bukoba nao wanajenga stendi yao) mambo mengine Bukoba ni superior kwa kigoma kuanzia makazi, Barabara, airport, elimu Hadi bandari bandari ya Bukoba inapanuliwa sana ikiwa ya pili kwa ukubwa Kanda ya ziwa
 
Waha... Wahaya.. hio .....ya ni tofauti ndogo ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…