We ni muongo..
Sie tuko kwenye miradi ya huku ya barabara..
Ukitoka mwanza hadi kibondo mjini ni lami tupu (iyo ya kwako kuishia kakonko umeitolea wapi), then ukitoka kibondo mjini hadi karibu na kijiji cha kifula unapanda lami tena ambayo inaenda hadi makere mbele, apo unakula vumbi adi kasulu..
Ambako kasulu to kigoma ni dkk 45-60 tu unakua umefika