Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 270
- 412
Ngoja nijichange mwakani nitembelee huko manyovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio waliokariri mambo wanajua Mikoani bado kuko kama zamaniWe ni muongo..
Sie tuko kwenye miradi ya huku ya barabara..
Ukitoka mwanza hadi kibondo mjini ni lami tupu (iyo ya kwako kuishia kakonko umeitolea wapi), then ukitoka kibondo mjini hadi karibu na kijiji cha kifula unapanda lami tena ambayo inaenda hadi makere mbele, apo unakula vumbi adi kasulu..
Ambako kasulu to kigoma ni dkk 45-60 tu unakua umefika
Kwetu ukiitwa mswahili pigana ni tusi kubwa kwamba ni jamii isiyo na utambulisho wa kiasili.Waswahili ndiyo waliokufanya leo hii uongee Kiswahili, nje ya ustarabu wa Waswahilini ushenzi tu.
Tujuwe kuliita chungwa chungwa.
Acha usenge basi.Wewe kwenu ni buhigwe au uvinza? Waha wote ni majungu, chuki na roho mbaya