Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

kaburu
 
Simba mbwa mbwa mbwa mbwa mbwa wanajamba tu eti mwanasheria wao ni haji manara
 
FIFA HANA MAMLAKA KISHERIA KUINGILIA KANUNI ZA LIGI YOYOTE ILE DUNIANI ZAIDI YA KUTOA USHAURI... ATAHUSIKA IWAPO.. KUNA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU, RUSHWA NA UPANGAJI WA MATOKEO, UBAGUZI WA RANGI, USAJILI WENYE GHARAMA KUBWA LENGO KUBALANCE TIMU... LKN SIO ETI KADI TENA AMBAZO NI ZA KANUNI ZA LIGI...
 
Duuuu! mkuu kipigo si mlikula lakini? vumilieni tu hayo maumivu labda msimu ujao tutawaachia nanyi japo mara moja
Kupigwa sio kigezo, kwani ile mechi ya Simba kuilamba Yanga bao mbili kama mngegundua mmoja wa wachezaji alikuwa Ronaldo mngeukubali ushindi ule? Mngesema kachezeshwa mchezaji asiyestahili, ni sheria tuu!
 
Tatzo walotoa maamuzi c wenye mamlaka, kuna viashiria vya rushwa kwa maana muda wao ulipta na maamuzi yalitakiwa yatolewe na kamati ya nidham
Mkuu kama ulifuatilia vizuri ktk uamuzi wa kamati ya nidhamu hakuna mahali walisema kwamba kamati ya saa72 hawakuwa na mamlaka ya kusikiliza malalamiko ya Simba.
 
Mkuu unamaanisha kweli 80s ama unamtishia tu jamaa? Nasomaga threads zako kimaudhui zinacontradict na umri wa mtu kuweza kuwa na uaezo wa kufuatilia mpira mid 80s. I mean some of your threads' contents are younger than your age!! Amazing!
 
Point za yanga na simba ni 68 sio 83.
Hapo mwisho kwenye vyama vya soka nimeona CUF. Ni hii CUF ya Bongo ndio imebadilisha gia angani na kuwa chama cha soka?
 
Malinzi na wahaya wenzie ndo wamewadanganya hivo??
Sio suala la Malinzi. Kama viongozi wa Simba wamewameshika masikio kwamba FIFA watawapa points 3 kwenye plate, you have another think coming.
 


Nahukia sana mtu anayeacha kujibu hoja na ku attack personalities. unapata wapi ujasiri wa kuwaita wenzio ni wa facebook na wewe ni wa great thinker wakati wewe ni kimeo zaidi! Usitudanganye wewe kuwa eti kuna watu wanatafuta suluhu hapa! hakuna kitu kama hicho. FIFA inasimamia sheria zake 17 na FA ndo inasimamia kanuni! Issue ya kanuni huwezi kuipeleka FIFA we mbumbumbu! Subiri utaona.
 
Umeua, usitumie bunduki kumpiga Inzi
 
Wapenzi wa ile mipira ya mezani. Jamani, jitahidini basi angalao mshinde points pale U/taifa. Yanga hawajapewa points na tff bali waliziokotea uwanjani. Huo, ndo mpira kubalini yaishee. Mwisho wa ligi ndo mwanzo wa ligi nyengine, sio mwisho wa kucheza mpira. Next tyme hakikisheni mnawazaba hao kagera goli 100 kwa sekunde 2 ili wakome kuwashika shurubu.
 

We waache waendelee kukomalia pointi za mezani wakati walifungwa na hiyo Kagera bila ubishi, na hata sasa wenzao upande wa pili wanajipanga kwa msimu ujao na kombe la CAF wao wanahangaika na mambo ya kitoto. Wakiendelea hivi mwakani tena wanakosa kombe na watazidi kumtafuta mchawi. Mpira unachezwa uwanjani jamani siyo mezani. Shida mliyo nayo ni uongozi wa wapiga dili. Badilikeni mcheze mpira na tafuteni uongozi imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…