msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 470
- 357
afadhali umemwambiaSio lazima kila mtu aandike,usilolijua uliza kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afadhali umemwambiaSio lazima kila mtu aandike,usilolijua uliza kwanza
Kukosa kitu sio aibu wewe,ndo maana hampati mademu wazuri kwa kuona aibuSimba wanawafurahisha tu wapenzi wao kwa aibu ya kukosa ubingwa.
kaburuMpaka hapo tupo pamoja. Sasa vigezo ambavyo kamati y TFF ilivyotumia kupiga chini ule.uamuzi wa kamati ya saa 72 ambayo iliridhika kwamba kuna kadi tatu ndipo utata ulipo. Wao walisema rufaa au malalamiko ya simba hayakuwasilishwa kwa wakati, na pia hayakulipiwa ada. Swali langu bado linarudi palepale, kadi tatu zinahitaji rufaa na kulipiwa ada? Ili si linajulikana tu kwamba kama mchezaji ana kadi tatu za njano haruhusiwi kucheza mchezo unaofuata? Hata timu pinzani isipolalamika ile timu iliyofanya kosa inaadhibiwa na kanuni kama ilivyofanyika kwa Azam dhidi ya Mbeya City. Nadhani kuna kitu hakikuwekwa wazi au kama una maelezo ya ziada nijuze mkuu.
Hapon ndipo akili yako imefika mwisho wa kufikiri. Pole sana!Simba mbwa mbwa mbwa mbwa mbwa wanajamba tu eti mwanasheria wao ni haji manara
Kupigwa sio kigezo, kwani ile mechi ya Simba kuilamba Yanga bao mbili kama mngegundua mmoja wa wachezaji alikuwa Ronaldo mngeukubali ushindi ule? Mngesema kachezeshwa mchezaji asiyestahili, ni sheria tuu!Duuuu! mkuu kipigo si mlikula lakini? vumilieni tu hayo maumivu labda msimu ujao tutawaachia nanyi japo mara moja
Mkuu kama ulifuatilia vizuri ktk uamuzi wa kamati ya nidhamu hakuna mahali walisema kwamba kamati ya saa72 hawakuwa na mamlaka ya kusikiliza malalamiko ya Simba.Tatzo walotoa maamuzi c wenye mamlaka, kuna viashiria vya rushwa kwa maana muda wao ulipta na maamuzi yalitakiwa yatolewe na kamati ya nidham
Nani anataka suluhu na nyie mshakula kichapo tulieni nyumbani muwoshe vyomboPost kama hii ndiyo inaweza kutufanya Wana Simba SC tusitake suluhu nanyi na tukakinukishe huko FIFA muaibike zaidi.
Mkuu unamaanisha kweli 80s ama unamtishia tu jamaa? Nasomaga threads zako kimaudhui zinacontradict na umri wa mtu kuweza kuwa na uaezo wa kufuatilia mpira mid 80s. I mean some of your threads' contents are younger than your age!! Amazing!Sibishani na Watoto wadogo kama Wewe kwani yawezekana wakati Mimi naanza kufuatilia mpira miaka hiyo ya mid and late 80's Wewe ulikuwa ama bado tumboni umeshatungwa na kama ulikuwa umezaliwa basi ulikuwa katika Ndoo au Beseni unapiga piga tu maji huku ukisubiri kuja Kuogeshwa na ukanywe Uji wa mchele au buluga.
Point za yanga na simba ni 68 sio 83.MAAJABU YA VIONGOZI WA SIMBA SC NA FIFA SAGA!
Na. Fredy Masolwa.
Jana baada ya msimu wa Ligi kuu Tanzania bara 2016/2017 kumalizika kwenye viwanja vinane, kumeibuka na sintofahamu nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii.
Sintofahamu hizo zilianza baada ya Yanga kupigwa na timu ya Mbao FC goli 1, kwenye mchezo wao wa kumaliza msimu huu uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Nakuzifanya Simba na Yanga kuhitimisha kwa pointi sawa 83, lakini Yanga akatangazwa Bingwa kwa wingi wa magoli, akichukua mara 27 na kwa mfululizo miaka 3.
BAADA YA MECHI 08!
Baada mechi kuisha sehemu mbalimbali na Yanga kutangazwa bingwa huku Toto, African Lyon na JKT Ruvu kushuka daraja, kulitokea na nakala ya risiti ya DHL kwa Simba kwenye mitandao ya kijamii, ikionesha kutumwa kwa kipeto chao kwenda Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), kwa kuishitaki Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kuwanyima pointi tatu za "Kagera na Simba Saga"
CAS NI NINI?
Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS - Court of Arbitration for Sport), imeanzishwa mwaka 1984 ikiwa chini ya Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na ICAS, kwa kuhudumia rufaa na malalamiko yote ya michezo mbalimbali ikiwemo na mpira wa miguu, na kutoa suluhisho la sintofahamu mbalimbali.
MAAJABU YA SIMBA
Moja, Simba analalamika kukata rufaa FIFA kabla ya kupitia CAF, cha ajabu wamenda FIFA moja kwa moja wakishitaka TFF, baada ya kupeleka rufaa yao CAF na ndio waeleke CAS au waende CAS moja kwa moja.
Pili, wanasema wamenda FIFA - Strasie 20, 8044 Zürich nchini Uswizi, wakati CAS ipo Cheteuu de bethusy, CH 1012, Lausanne nchini Uswizi, ni ajabu la mwaka.
Tatu, ukisoma kanuni kuu za CAS, zinawataka kutuma shauri lao ndani ya siku 21 kabla ya shida kutokea na litasikilizwa ndani ya miezi sita mpaka kumi na mbili, lakini viongozi wa Simba wametuma FIFA na sio CAS kama ibara ya 49 (muda wa kutuma rufaa au malalamiko ya mlalamikaji sio mlalamikiwa au taasisi yake) inavyosema.
Nne, Kanuni kuu cha CAS zinasema, ibara ya 31 inasema sio lazima kutuma malalamiko kwa njia kama DHL n.k, lakini unaweza tumia njia ya haraka na wepesi kwa barua pepee procedures@tas-cas.org, tazama viongozi wa simba walichofanya.
Tano, ibara ya 49, 64.1 na 65.2 inaeleza juu ya malalamiko au rufaa kwa CAS, sio FIFA yanalipiwa Swiss franc 1000, lakini Simba hawajaonesha kama wamelipia hicho kiasi.
UCHAGUZI WA SIMBA
Nimemtambua Katibu wa Simba kupitia mgogolo huu, Bwana Hamis Kisiwa, lakini aliyetuma barua ya kilo 1.5 ni Kamanda wa Vita, Geofrey Nyange.
Ukitazama kwa jicho la kimafuriko ya maji yaliyofunguliwa bwawa la Kihansi, kisha kuaribu mipunga ya wakulima wengine huko Morogoro, Chita.
Viongozi wa Simba wanatafuta agenda ya mkutano mkuu wao utakaofanyika mwaka huu, ukiwa na agenda moja wapo ya uchaguzi mkuu wa viongozi hao.
Wanatazama ahadi zao wakati wakiomba ridha ya kuongoza Simba sasa, hawajatimiza mpaka sasa kwa asilimia kubwa, kama ubingwa hawajapata VPL, uwanja wao bado changamoto na mambo mengi nichangamoto.
Wakifanikiwa la kuwadanga hili la CAS, huku wao wakisema na kuhubiri FIFA, basi tutegeme Rais wa sasa kurudi tena kuongoza Simba na watu wake.
Kama wakishindwa kuwadanganya basi namuona Mc. Adam Raga wa Tabora akirudi tena kuongoza Simba, baada ya kuwadanganya kwenda FIFA badala ya CAS.
FIFA wana Bodi ya Sheria, ina Kamati ya Nidhamu (Disciplines Committee) hapa ndio uanzakuamua mambo mbalimbali, ukishindwa kutambua maamuzi yao basi unakata rufaa, Kamati ya Rufaa (Appeal Committee) kwa maamuzi tofauti na matarajio yako, kwakuangalia kanuni za maadili ya kimaamuzi "FIFA Disciplinary Code Decisions", pia maamuzi ya CAS uzingatiwa kama utaanzia huko kabla ya kamati.
Sasa Simba watuambie wamenda wapi FIFA kwa kanuni zipi, ofisi ipi au kamati ipi? Au wamenda CAS kwa taratibu zipi?
Dar es Salaam Young Africans (Yanga) endeleni kushangilia ushindi wenu ni halali, kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu za TFF, CECAFA, CUF na FIFA.
Simba Hoyeeeeee!
Mwisho!
0715011406
Sio suala la Malinzi. Kama viongozi wa Simba wamewameshika masikio kwamba FIFA watawapa points 3 kwenye plate, you have another think coming.Malinzi na wahaya wenzie ndo wamewadanganya hivo??
Mademu wa nini sasa maisha haya?Kukosa kitu sio aibu wewe,ndo maana hampati mademu wazuri kwa kuona aibu
Siku nyingine uwe unajitahidi kuficha ujinga wako Mkuu. Kwa kukusaidia tu kama Wewe ni Mtu wa Yanga FC kweli na unayajua ya ndani kabisa fuatilia haraka ujue nini kinaendelea sasa na kwanini Viongozi wa Yanga FC na wale Wabunge wa Yanga huku kukiwepo na Mwakilishi mmoja kutoka SportPesa wanapanga kwenda kutafuta suluhu kwa Uongozi wa Simba SC ili tu Simba wasiende huko FIFA kwa hofu moja kubwa tu kwamba ukweli ukijulikana TFF inaweza kuadhibiwa, Ligi Kusimamishwa na kubwa zaidi kuathiri uwakilishi wa Yanga FC kimataifa na pia kuathiri Udhamini wa SportPesa ambao kuna uwezekano mkubwa wao ndiyo wakawa Main Sponsor msimu ujao wa Premier League.
Jifunze kutofautisha Facebook ambapo kumejazana Wenzako mnaofanana Kiakili na huku JF ambapo ni Home of Great Thinkers.
Simba SC wakienda kweli FIFA Kesho tu asubuhi Yanga FC mtalileta wenyewe Kombe letu mitaa ya Msimbazi. Ombea tu haya mazungumzo yaende vizuri na busara itumike vinginevyo kuna dhahama kubwa inakuja na ambayo itamuharibia sana Rais Malinzi anayetaka kuwa Rais tena wa TFF katika Uchanguzi Mkuu ujao wa mwezi August 2017.
Umeua, usitumie bunduki kumpiga InziSibishani na Watoto wadogo kama Wewe kwani yawezekana wakati Mimi naanza kufuatilia mpira miaka hiyo ya mid and late 80's Wewe ulikuwa ama bado tumboni umeshatungwa na kama ulikuwa umezaliwa basi ulikuwa katika Ndoo au Beseni unapiga piga tu maji huku ukisubiri kuja Kuogeshwa na ukanywe Uji wa mchele au buluga.
Wapenzi wa ile mipira ya mezani. Jamani, jitahidini basi angalao mshinde points pale U/taifa. Yanga hawajapewa points na tff bali waliziokotea uwanjani. Huo, ndo mpira kubalini yaishee. Mwisho wa ligi ndo mwanzo wa ligi nyengine, sio mwisho wa kucheza mpira. Next tyme hakikisheni mnawazaba hao kagera goli 100 kwa sekunde 2 ili wakome kuwashika shurubu.