Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume.

Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho.

Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei niliyomwambia. Badala ya kusimama na mimi, akaanza kunicharua vibaya, eti nimempiga bei juu sana, yeye angefanya kwa bei ya chini.

Namshukuru sana yule boss, nje ya kazi tulizoeana alikuwa kama bro, aliniita pembeni akaniambia ukweli mtupu: “Huyo unayemwita rafiki sio kabisa. Huyo ni mtu wa kukumaliza. Chagua mwenyewe ubaki naye au umteme, lakini si mtu mzuri.”

Nikaenda kumkabili huyo snitch. Kufika hapo akaanza kuomba msamaha kama mtoto mdogo aliyeshikwa na wizi. Hata kuniangalia machoni hawezi. Nahisi alitamani ardhi ifunguke azame.

Wengine si marafiki, ni mashindano yaliyovaa sura ya urafiki.
 
Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?

Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
 
Mwamba yupo sahii kukimbia

Mambo ya kuanzisha ugomvi alafu utegemee backup ya mtu hiyo siyo

Kuna watu awataki ugomvi na hawajui kupigana, usilazimishe mtu apigane kwa ajili yako, kwanini na wewe usingechukua uamuzi wa kukimbia?
 
Kaka uliza ugomvi alianzisha nani ?
Ukinisoma vizuri utagundua sitegemei back up ya mtu mimi uwa napiga mpaka watu sita kikubwa wawe wale mburura ambao hawana mafunzo yoyote hapo nitapiga mpaka maji ya kunywa waombe .

Alimtaka demu fulani muhudumu kumbe demu ni demu wa mshikaji fulani wa halmshauri ya jiji na pia ni kama mtu wake wa kudumu na mwana alikuwa humo ndani pia kalewa .

Mwana wa halmashauri akaanzisha zogo la maneno na pia alikuwa na washikaji wa suma walipoanza kugawa nakozi mwana akaamua achimbe badala ya kumaliza msala wake
 
mnafungua lini shule 😂
 
Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?

Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
Pole kaka MIMI NIMEWAI GEUKA ""UN""
Mara kadhaa hahaha mtetezii
 
Kaka uliza ugomvi alianzisha nani ?
Ukinisoma vizuri utagundua sitegemei back up ya mtu mimi uwa napiga mpaka watu sita kikubwa wawe wale mburura ambao hawana mafunzo yoyote hapo nitapiga mpaka maji ya kunywa waombe .

Alimtaka demu fulani muhudumu kumbe demu ni demu wa mshikaji fulani wa halmshauri ya jiji na pia ni kama mtu wake wa kudumu na mwana alikuwa humo ndani pia kalewa .

Mwana wa halmashauri akaanzisha zogo la maneno na pia alikuwa na washikaji wa suma walipoanza kugawa nakozi mwana akaamua achimbe badala ya kumaliza msala wake
Muhudumu Naye Wakupigania..???
 
Njaaaa kali ila yote haikua ridhiki yako inamaana wewe ni mtu mwema tu hujawahi kosea
Kukosea wote tunakosea lakini siyo kufanya mambo ya kijinga na kitoto kama kwenda kum-snitch mwana kwa boss,mke sijui demu wake.

Kuna vitu mwanaume akivifanya hata vinakosa jibu kwamba kwanini amefanya.
 
Back
Top Bottom