Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

Haina noma kwenye saa mbili mbili hivi ntatupia ka episode kamoja .. ningetamani iishe haraka sema harakati za hapa na pale nakosa tymem.. ila moja hivi ya moto baadaye uhakika 😄😄📍.
Pamoja kaka ,uwe unanitag unajua kuna kijiji fulani ukifika nikasema wewe ndiye mcTobby utashangaa maana uwa nakariri kila kitu kwenye movie zako naenda kuwamwagia wazee na vijana kwa kusema huyu alikuwa jasusi akaacha sqsa anatoa siri za baadhi ya mission zake naongeza na manjonjo basi watu hoi ,wanakujua zaidi ya raisi wao .

Unisamehe uwa sikuambii hili ila wacha leo niseme
 
Kumbe bado kuna watu mna marafiki? Mimi nilifuta hayo mambo ya kitambo Sana.

Nakutana ma mtu, kama Kuna jambo la msingi tunashirikiana, likimalizika mawasiliano yanaishia hapo.
Wewe Kila rafiki una muweka kwenye group la ma COMRADE 😁

Wengine tupogo real.. rafiki wa kweli... confidant wapooooo
 
Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume.

Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho.

Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei niliyomwambia. Badala ya kusimama na mimi, akaanza kunicharua vibaya, eti nimempiga bei juu sana, yeye angefanya kwa bei ya chini.

Namshukuru sana yule boss, nje ya kazi tulizoeana alikuwa kama bro, aliniita pembeni akaniambia ukweli mtupu: “Huyo unayemwita rafiki sio kabisa. Huyo ni mtu wa kukumaliza. Chagua mwenyewe ubaki naye au umteme, lakini si mtu mzuri.”

Nikaenda kumkabili huyo snitch. Kufika hapo akaanza kuomba msamaha kama mtoto mdogo aliyeshikwa na wizi. Hata kuniangalia machoni hawezi. Nahisi alitamani ardhi ifunguke azame.

Wengine si marafiki, ni mashindano yaliyovaa sura ya urafiki.
Mimi nipo alone tu hata home
 
Marafiki wanasaliti MABICHI wanaSNICHI nikihitaji msaada wanajeshi wapo FITI. //HAWATUWEZI.

Binadamu hatupendani ,watu wakikuona kidogo unajiweza huwa wanaomba UDONDOKE wakucheke.

Ukiwa na pesa jitahidi watu wasijue fanya mambo "MYAKIMYAKI" yaani mtu asije kunote kwamba siku gani una hela yaani ukiwa na hela unakuwa simple na vile kama hauna unakuwa simple so wanakuwa hawajui kama MWANA ana MTONYO au hana, ila kama kuinua MIJENGO Site wewe INUA tu.

"Blazameni yupo club analewa anayumba STAR nipo site najenga MAJUMBA".
 
Pamoja kaka ,uwe unanitag unajua kuna kijiji fulani ukifika nikasema wewe ndiye mcTobby utashangaa maana uwa nakariri kila kitu kwenye movie zako naenda kuwamwagia wazee na vijana kwa kusema huyu alikuwa jasusi akaacha sqsa anatoa siri za baadhi ya mission zake naongeza na manjonjo basi watu hoi ,wanakujua zaidi ya raisi wao .

Unisamehe uwa sikuambii hili ila wacha leo niseme
Wewe unataka nitumiwe task force 😂😂😂🤣🤣. Anyway ni kwa ajili ya kujiburudisha tu kile nachopenda kusoma na share na wadau 📍📍🔨
 
Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?

Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
Ukijifanya mwingi wa kumudu ngumi za watu, unataka msaada wa nini sasa. Nakuacha ufilie mbali mim, niingilie ugomvi usonihusi
 
Ukiwa na pesa jitahidi watu wasijue fanya mambo "MYAKIMYAKI" yaani mtu asije kunote kwamba siku gani una hela yaani ukiwa na hela unakuwa simple na vile kama hauna unakuwa simple so wanakuwa hawajui kama MWANA ana MTONYO au hana, ila kama kuinua MIJENGO Site wewe INUA tu.
Hapa umeongea point muhimu na nzito sana .. Najua Kuna ile hali mtu anakuwa nayo kama ya shauku ya ku share mafanikio yake na watu ikiwemo marafiki... Tunasahau tuna attract attention ambayo huzaa chuki ,wivu na Husda. Hapa wengi wetu tunafeli kuishi kwa street codes ambapo inatupasa ku play Low-key. Na ndio unaona umepata mafanikio kidogo lakini rafiki yako wa karibu hajafurahi hata kidogo. Atleast jionyeshe unazo atleast kwenye mazingira ya watu wenye nazo kuliko kujionyesha unazo kwenye mazingira haya ya huku uswahilini ni hatari sana..

NB: Always play low key
 
Ukijifanya mwingi wa kumudu ngumi za watu, unataka msaada wa nini sasa. Nakuacha ufilie mbali mim, niingilie ugomvi usonihusi
Ila unasahau ugomvi ulianzisha wewe kaka ,na mimi sikuingilia ila nilikuwa naweka mapafu mbele wasikudunde maana na huo mkitambi wangekumqlizq kaka .

Ila anyway wema wangu uliniponza ila salute yaliyopita sio ndwele ,uwe na muda mwema huko
 
Jamaa yako aliwwsha gari akaenda zake ci
Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?

Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up

Jamaa yako mjanja aliwasha gari akaenda zake city pub,pale kwa mwairub vichochoro vingi
 
Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?

Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
Unachokoza ugomvi kwa kutegemea backup ya mwanaume mwenzako?
 
Mimi ninafahamiana na watu wengi sana ambao sidhani kama ni marafiki wa karibu. Kumbe ni kujiepusha na mengi.
 
Back
Top Bottom