Usaliti ni maamuzi ya mtu, hata matajiri mabilionea wapo wanaosalitiana. namba za pesa hazijawahi kuwa na mwishoNjaaaa kali ila yote haikua ridhiki yako inamaana wewe ni mtu mwema tu hujawahi kosea
Asa tulia kama ilo unalifahamuUsaliti ni maamuzi ya mtu, hata matajiri mabilionea wapo wanaosalitiana. namba za pesa hazijawahi kuwa na mwisho
Rafiki gani huyo ulikuwa nae anakuona unapiga mapindi ya matunguli humu JF halafu akakusaliti 😂😂Nilimroga
Nilimroga
Mwamba yupo sahii kukimbiaKulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?
Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
Kaka uliza ugomvi alianzisha nani ?Mwamba yupo sahii kukimbia
Mambo ya kuanzisha ugomvi alafu utegemee backup ya mtu hiyo siyo
Kuna watu awataki ugomvi na hawajui kupigana, usilazimishe mtu apigane kwa ajili yako, kwanini na wewe usingechukua uamuzi wa kukimbia?
mnafungua lini shule 😂Kaka uliza ugomvi alianzisha nani ?
Ukinisoma vizuri utagundua sitegemei back up ya mtu mimi uwa napiga mpaka watu sita kikubwa wawe wale mburura ambao hawana mafunzo yoyote hapo nitapiga mpaka maji ya kunywa waombe .
Alimtaka demu fulani muhudumu kumbe demu ni demu wa mshikaji fulani wa halmshauri ya jiji na pia ni kama mtu wake wa kudumu na mwana alikuwa humo ndani pia kalewa .
Mwana wa halmashauri akaanzisha zogo la maneno na pia alikuwa na washikaji wa suma walipoanza kugawa nakozi mwana akaamua achimbe badala ya kumaliza msala wake
Keshomnafungua lini shule
Pole kaka MIMI NIMEWAI GEUKA ""UN""Kulizuka ngumi tukiwa Mwairubi bar _mbeya mida mibovu ,sasa mimi kwakuwa najielewa uwa naweza kuwamudu watu wengi nikasahau nimelewa ,ngumi zilitembea sana kumbe mshikaji alishakimbia muda sana .
Ngumi zimeisha sina jino moja natoka nje nakuta alishawasha gari muda sana hayupo hata mitaa ya karibu ,piga simu hapokei eti kesho anasema yeye na mambo ya ngumi mbali mbali sasa namuuliza vipi mimi uliyeniacha huko ningeng'olewa meno yote ungekuja kuniona kwa uso upi ?
Anajichekesha tu ,nikakata urafiki maana nikajua hapa ipo siku tutakuwa kiwanja nitapigwa mbele yake na asinpe back up
Hatari sana kaka .Pole kaka MIMI NIMEWAI GEUKA ""UN""
Mara kadhaa hahaha mtetezii
Muhudumu Naye Wakupigania..???Kaka uliza ugomvi alianzisha nani ?
Ukinisoma vizuri utagundua sitegemei back up ya mtu mimi uwa napiga mpaka watu sita kikubwa wawe wale mburura ambao hawana mafunzo yoyote hapo nitapiga mpaka maji ya kunywa waombe .
Alimtaka demu fulani muhudumu kumbe demu ni demu wa mshikaji fulani wa halmshauri ya jiji na pia ni kama mtu wake wa kudumu na mwana alikuwa humo ndani pia kalewa .
Mwana wa halmashauri akaanzisha zogo la maneno na pia alikuwa na washikaji wa suma walipoanza kugawa nakozi mwana akaamua achimbe badala ya kumaliza msala wake
Kukosea wote tunakosea lakini siyo kufanya mambo ya kijinga na kitoto kama kwenda kum-snitch mwana kwa boss,mke sijui demu wake.Njaaaa kali ila yote haikua ridhiki yako inamaana wewe ni mtu mwema tu hujawahi kosea
Mkuu HOLY SKANKA harakati vipi Ninja wangu ,mzigo napata mzee ,Nyoka hapaMuhudumu Naye Wakupigania..???
Over🔨🔨📍📍Kumbe bado kuna watu mna marafiki? Mimi nilifuta hayo mambo ya kitambo Sana.
Nakutana ma mtu, kama Kuna jambo la msingi tunashirikiana, likimalizika mawasiliano yanaishia hapo.