Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris

Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati

Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?

Screenshot_20240804-224300.png
 
Eg
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris

Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati

Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?

Egypt
 
Kweli ninyi waarabu wa buza mna utamadini mzuri naa Mavazi mazuri Sana ya michezo. Naomba fifa na Tff zipitishe vazi tukufu la kanzu kwa wanaume na hijabu. auna ya Burka kuwa Mavazi rasmi ya michezo hapa Tanzania na itapunguza garama za kuzindua jezi Kila mwaka au sio mfia dini ya mwarabu?
 
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris

Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati

Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?

View attachment 3066601
Mwanzoni ilikua huruhusiwi kuvaa mavazi mengine zaidi ya vimini ndio maana muarabu/muislam ulikua humuoni kwenye hio michezo walipoondoa tu shughuli ikawa tofauti waarabu/waislam wamejaa michezoni wanadai ilikua moja wapo ya njia za kuwavuta watu wajekwakua haikua michezo maarufu
 
Red waneuwaa mambo ya kujufunika kama maiti ni ujinga maharufu ya jasho na uvundo..
Kuna mama nilipanda nae kwenye bus anevaa ficha uso manguo kibao anakula ndani ya kitambaa yani ni kujipulizia marashi kila saa kuficha harufu ya jasho na uvundo..
 
Mama yako akivaa hivyo vichupi mbele yako na mbele ya watu ni sawa tu!?
 
Back
Top Bottom