Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

Kwa wazungu kubaki uchi sehemu ya mwili sio utamaduni ni utaratibu wakiafya(kupata vitamini d)

Hata hao Egypt sidhani ni utamaduni wa kitaifa ila Swala la maadili ya kidini
 
Utamaduni wa kujisitiri ni bora kuliko huo utamaduni wa kishenzi wa magharibi kila saa ni kuhamasisha tu ngono..
Ajabu ni kuwa pamoja na kujisitiri bado waafrika tunafanya sana ngono kuliko hao wanaojiachia nusu uchi.

Yaani viwango vyetu vya tamaa tunapomwona mwanamke aliyejisitiri bado ni vikubwa kuliko viwango vya tamaa zao wanapowaona hao wanawake wao wakiwa wamevalia hivyo vichupi. Hivyo hamasa yetu ya kufanya ngono inahitaji tu kuona jinsia tofauti, viwango vya hamasa ndo vitategemea mazingira
 
Kikubwa haifanyiki hadharani kama wanyama ... Sasa vile vichupi mtoto aliyek kwenye rika ya balehe akiangalia tu anasisimka na kwenda kula muwa.
 
Ajabu ni kuwa pamoja na kujisitiri bado waafrika tunafanya sana ngono kuliko hao wanaojiachia nusu uchi.

Yaani viwango vyetu vya tamaa tunapomwona mwanamke aliyejisitiri bado ni vikubwa kuliko viwango vya tamaa zao wanapowaona hao wanawake wao wakiwa wamevalia hivyo vichupi. Hivyo hamasa yetu ya kufanya ngono inahitaji tu kuona jinsia tofauti, viwango vya hamasa ndo vitategemea mazingira
Viwango vyao vya tamaa hupungua sababu wameshazoea kuona utupu. Yaani hawashtuki tena wakiona uchi. Tofauti na waafrika ni nadrq sana kuona uchi so tamaa inakua kubwa sababu haijazoea kuona uchi ovyo ovyo.
 
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris

Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati

Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?

View attachment 3066601
Mkuu hupo hapo? Huyu hapa ni mualgeria muislamu aliyeshinda medal ya dhahabu paris. Ni mwarabu muislamu Algeria. Hupooo.

20240812_100429.jpg
 
Back
Top Bottom