Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris
Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati
Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
Egypt
Itakuwa nyekundu tu kwakupata mashabiki wengi pamona na upendeleo wa refaTimu ipi ilishinda?
Tufuate Utamaduni Wetu Kabla Ya Ukoloni.Utamaduni wa MTU mweusi huwa ni upi ?
kuvaa magome ya miti na uchawi.Utamaduni wa MTU mweusi huwa ni upi ?
Mwanzoni ilikua huruhusiwi kuvaa mavazi mengine zaidi ya vimini ndio maana muarabu/muislam ulikua humuoni kwenye hio michezo walipoondoa tu shughuli ikawa tofauti waarabu/waislam wamejaa michezoni wanadai ilikua moja wapo ya njia za kuwavuta watu wajekwakua haikua michezo maarufuKatika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris
Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati
Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
View attachment 3066601
Wanachangia sana kwenye tatizo la nguvu za kiumeila olimpic kumejaaa vyupi hadi saivi nimevizoea.
Mama yako akivaa hivyo vichupi mbele yako na mbele ya watu ni sawa tu!?Red waneuwaa mambo ya kujufunika kama maiti ni ujinga maharufu ya jasho na uvundo..
Kuna mama nilipanda nae kwenye bus anevaa ficha uso manguo kibao anakula ndani ya kitambaa yani ni kujipulizia marashi kila saa kuficha harufu ya jasho na uvundo..
Kwahiyo walivyovaa hao wamisri ndio stara?Wazungu na wafuasi wao hudai hivyo walivyovaa egypt ni kumkandamiza mwanamke na walivyovaa spain ni kumkomboa,na watu husadiki na kupiga yowe
Ubora ni nini?KAFIRI HAJAWAHI KUWA BORA MBELE YA MWARABU, NAJUA WENGI MTABISHA HASAHASA MAKAFIRI