Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

Hapo hakuna utamaduni bali kuna REAL AND FAKE...hao wazungu ni real na hao waarabu ni feki yaani unafiki na ukweli yaani muhuni aliye jificha na muhuni aliye dhahiri...yaani mwovu aliye jificha na mwovu aliye dhahiri yaani fisadi aliye jificha na fisadi aliye dhahiri yaani mbwa mwitu aliye jivika ngozi ya kondoo na mbwamwitu aliye dhahiri
yAANI 👉UKWELI MUOVU NA UONGO MUOVU.


Watu kwa kukosa akili mnajisumbua na kujifariji bure sawa sawa na upumbavu ulio jaa vichwani mwenu ...hapo wapo wapumbavu wanadhani mbwa mwitu aliye jivika vazi la kondoo ni MTAKATIFU hila mbwa mwitu asiye jivika vavi la kondoo ndiyo MUOVU ..
 
Umekosea swali.
Unapozungumzia tamaduni jua unazungumzia mfumo mzima wa ustaarabu wa jamii husika.
Ungekuwa specific ungesema tamaduni ipi ya mavazi ndio bora??
Kwasababu tukizungumzia tamaduni kama tamaduni zipo za kiarabu utazikataa wewe na kuzikimbia.
 
Kwa nini unasema Waarabu ni fake
 
Mm naona wote wako sawa mana kwanza hapo wanafanya kitu cha aina moja.

N sawa mwanamke ajiuze akiwa amevaa kiheshima na mwingine avae nguo za utupu bado hao ni wa aina moja mana wanafanya kazi ya aina moja.
 
Nimachoshangaa zaidi wanaume wao hawawezi kuvaa hivi sijui kwa nini aiseee.
 
Red waneuwaa mambo ya kujufunika kama maiti ni ujinga maharufu ya jasho na uvundo..
Kuna mama nilipanda nae kwenye bus anevaa ficha uso manguo kibao anakula ndani ya kitambaa yani ni kujipulizia marashi kila saa kuficha harufu ya jasho na uvundo..
Huyo ni mjinga kama wajinga wengi tu.

Uislam unataka mtu avae kiheshima, siyo kujifunika gubi gubi kwa maguo mazito.
 
Umeshasema utamaduni means kila mmoja amevaa vile imezoeleka kwao shida iko wapi!
 
Kwa nini?
Nilipokua yanki 1990s,ilikua huwezi ona chupi za akina mama zimeanikwa,ukiona underskirt badi mdudu wima,kuna siku mwana alifanikiwa kupata goma,wakati goma linavua mwana alikua anarukaruka kashika gongeo,yaani mwani,leo dem anavua na mdudu kalala mpaka ashikweshikwe na kunyonywa,x kama zote,mashavu ya maku live kwenye tight wanazovaa,nguo fupi mapaja nje,huwezi pata mshtuko
 
Ukiwa hujawahi kuiona hivyo si ndio ile umepewa sekunde mbili umechomeka tayari ushamwaga..si ndio upungufu huo?
 
Ilikuwa ukiona hata underskirt kitu winga
 
Nimeangalia Olympic ya 2024,mavazi ya wanamichezo wa kike wa kizungu sio poa kabisa...
 
Hapo ulipi kuna liquor store ?upate hata joni mtembezi nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…