Moja ya hoja kuu kutoka kwa critics wa hiyo cheque ya Mo walisema ni fake kwasababu haijataja jina la bankHii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣
Huko kuna kikwete na Sunday Manara wengine ni Inclusive 🤣🤣🤣🤣 Unajisumbua kumjibuuMo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Hata mimi ni mwananchi, nahoji hivi, hela za mkataba zimewekwa benki gani? Mbona hundi yake hatuioni badala yake tunaonyeshwa ya bonus?Hii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣
Zipo benki gani? Wananchi tunapigwa mchanasawa
Sportpesa hundi zao zote zipo hivyo, hata zile mlizokuwa mnapewa nyie enzi zile mnamtegemea... Ila huyu chumpli ni tapeli ndo maana watu wakamshtukia! Hundi ya chupli haijulikani km hela iliingia kwenye akaunti gani maana kwenye akaunti za simba haikuwepo....Moja ya hoja kuu kutoka kwa critics wa hiyo cheque ya Mo walisema ni fake kwasababu haijataja jina la bank
Tuambieni kwenye hiyo cheque yenu ya 100M ni wapi imeandikwa jina la Bank?
Kuna sehem nlipita wanauza buku mbili na kalamu kama bonus mkuuProffesionalism kwasabu ya diary?
Hiyo diary kariakoo ni 3500 na ukiwa muongeaji hadi mbili jero una nyanyua
Nenda makao makuu ya club, idara ya uhasibu kawaulizeZipo benki gani? Wananchi tunapigwa mchana
Sasa kwanini mtoa mada analeta mfano wa hundi ya bonus?milioni mia moja.... hii ilikuwa bonus
muulize mkuu atakujibuSasa kwanini mtoa mada analeta mfano wa hundi ya bonus?
Point kubwa hapo sio kuonesha nani kalipwa nini ila kuonesha jinsi hundi zinzvyotengenezwa.... Hundi gani inaandikwa kwenye jezi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2311302
Siku hizi yanga wanacheza na mikataba... Onesheni kitu kama hicho tuwaamini
Ila ww jamaa ata kuandika neno professional limejushinda ....iko ivi simba likwisha ku sign deal na M bet, ila leo ilikuwa ni sherehe ya kuzindua au kuweka wazi mkataba huo .....Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
Unatapeliwa mchana kweupe unashangiliaMmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Nimeanza kuamini kweli hamna akili..sijawahi kusema chochote kwny hili ila kwa hii hapa kweli huna akiliPoint kubwa hapo sio kuonesha nani kalipwa nini ila kuonesha jinsi hundi zinzvyotengenezwa.... Hundi gani inaandikwa kwenye jezi? 🤣🤣🤣
Hilo ni bango tu ueleweMmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳