Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

Hii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣
Moja ya hoja kuu kutoka kwa critics wa hiyo cheque ya Mo walisema ni fake kwasababu haijataja jina la bank

Tuambieni kwenye hiyo cheque yenu ya 100M ni wapi imeandikwa jina la Bank?
 
Mo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Huko kuna kikwete na Sunday Manara wengine ni Inclusive 🤣🤣🤣🤣 Unajisumbua kumjibuu
 
Hii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣
Hata mimi ni mwananchi, nahoji hivi, hela za mkataba zimewekwa benki gani? Mbona hundi yake hatuioni badala yake tunaonyeshwa ya bonus?
 
Moja ya hoja kuu kutoka kwa critics wa hiyo cheque ya Mo walisema ni fake kwasababu haijataja jina la bank

Tuambieni kwenye hiyo cheque yenu ya 100M ni wapi imeandikwa jina la Bank?
Sportpesa hundi zao zote zipo hivyo, hata zile mlizokuwa mnapewa nyie enzi zile mnamtegemea... Ila huyu chumpli ni tapeli ndo maana watu wakamshtukia! Hundi ya chupli haijulikani km hela iliingia kwenye akaunti gani maana kwenye akaunti za simba haikuwepo....

Kama hiyo haitoshi bilioni 20+ bilioni 20 akasema ni bilioni 85...

Kwahiyo nyie tunawajua kuwa ni wakali wa kuongeza zero... Si ajabu hata huo mkataba ukakuta ni wa bilioni 2.61 kwa miaka mitano
 
Hundi ya mini wakati hela inatolewa kwa awamu na si lump sum?
Yanga wanaojitapa hata picha hizo haioneshi kiasi gani cha fedha walizoingia Nazi Mkataba.
Muda ni Mwalimu mzuri
 
mwekezaji mwenye hisi49% ameweka b20 kwa miaka isiyojulikana hi tunasema ni milele alafu mdhamini ameweka b26 apa ndo nashindwa elewa imekaaje
MAKOLO NAOMBA UFAFANUZI
hisa49%b20 milele
mdhamini b26miaka5
 
Point kubwa hapo sio kuonesha nani kalipwa nini ila kuonesha jinsi hundi zinzvyotengenezwa.... Hundi gani inaandikwa kwenye jezi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hundi ya Million 100 ndiyo Mkataba wa Yanga na Sportpesa. Kuna watu wana akili finyu sana.
 
View attachment 2311302
Siku hizi yanga wanacheza na mikataba... Onesheni kitu kama hicho tuwaamini

Thibitisha kama ni Mkataba. Screen shot tuone Mkataba. Hicho kitabu yeyote anaweza kuweka rangi z njano na kuita Mkataba na zuzu likaamini. Beside that, Mkataba ni between Parties na wala siyo lazima uwekwe uonekane neno kwa neno. Pia kwa kutangazwa hadharani, Serikali inajua kila Team ina mapato gani na kodi yake ni kiasi gani(for taxable revenue)
 
Kwa hiyo hiyo hundi ndo mkataba wa yanga na sportpesa wa bil 12. Ama kweli kichwa chako ni kabati la meno.
 
Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....

Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298

Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
Ila ww jamaa ata kuandika neno professional limejushinda ....iko ivi simba likwisha ku sign deal na M bet, ila leo ilikuwa ni sherehe ya kuzindua au kuweka wazi mkataba huo .....
 
Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....

Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298

Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Unatapeliwa mchana kweupe unashangilia
 
Point kubwa hapo sio kuonesha nani kalipwa nini ila kuonesha jinsi hundi zinzvyotengenezwa.... Hundi gani inaandikwa kwenye jezi? 🤣🤣🤣
Nimeanza kuamini kweli hamna akili..sijawahi kusema chochote kwny hili ila kwa hii hapa kweli huna akili
 
Back
Top Bottom