Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Moja ya hoja kuu kutoka kwa critics wa hiyo cheque ya Mo walisema ni fake kwasababu haijataja jina la bankHii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣
Tuambieni kwenye hiyo cheque yenu ya 100M ni wapi imeandikwa jina la Bank?