Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama picha ya mfano wa hundi haipo, nini lengo la huu uzi?Haipo hapo kwenye picha mkuu, nafikiri hawakuionesha zaidi ya docs za mkataba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama picha ya mfano wa hundi haipo, nini lengo la huu uzi?Haipo hapo kwenye picha mkuu, nafikiri hawakuionesha zaidi ya docs za mkataba
AULIZWE MTOA MADAKama picha ya mfano wa hundi haipo, nini lengo la huu uzi?
Wanacheza na mikataba au wanacheza na akili zenu?View attachment 2311302
Siku hizi yanga wanacheza na mikataba... Onesheni kitu kama hicho tuwaa
Kaweka mkataba wa makubaliano na sio jezi 😅😅😅
Kwa hiyo we kama Yanga mwenzake hukubaliani na hoja yake?AULIZWE MTOA MADA
Namimi nilijiuliza cheque gani inaandikwa kwenye gagulo
Page zao hazifahamiki kutokana na uchache wa followers naweza vamia page za udaku nikajua ni official nikakutana na picha fekiIpo nenda kwenye page zao utaiona
Kuna sehemu inabidi airekebisheKwa hiyo we kama Yanga mwenzake hukubaliani na hoja yake?
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
Harafu wanajiita timu kubwa.... 🤣🤣🤣🤣Ila hii nchi wizi umezidi..
Yaani cheque inaandikwa kwenye tambala kweli?
Halafu jamaa walikuwa wanasubiri yanga watangaze mkataba wao nao wapande cha juu, kweli bambukicha ni mandonga aliyechangamka 😂😂😂
Proffesionalism kwasabu ya diary?We hiyo dairy unayo basi 🤣🤣🤣
Yaani hata professionalism hakuna afu mnasema tuna mdhamini mkubwa tz nzima, kweli???🤨🤨🤨
Aweke hundi ya mfano ya mkataba basi, sio uzi wa mkataba hundi ya bonus. Lazima mseme za mkataba zimewekwa benki gani! 😁 😁 😁MKATABA NA BONUS TOFAUTI
Hii ya moo mbona mlituthibitishia wenyewe kwamba haipo Kwenye akaunti??? Au kigwangala sio mwanasimba mliemshabikia wakati anahoji ile bilioni 20 iko wapi???🤣🤣🤣Kwa hiyo leo mnakubali kuwa hata ile hundi ya 20B ya Mo ipo kiprofesheno? 😁
Leo mtasema yote !
View attachment 2311306
sawaAweke hundi ya mfano ya mkataba basi, sio uzi wa mkataba hundi ya bonus. Lazima mseme za mkataba zimewekwa benki gani! 😁 😁 😁