Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Yanga wenye akili ni wawili tu, JK na Baba yangu" Haji S ManaraMmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Leo ndio mnajua majibu ya fedha za klabu zilipo yanapatikana makao makuu, mtakomaNenda makao makuu ya club, idara ya uhasibu kawaulize
Mkataba wa 26B upo wapi ?Ambapo hiyo haijafikia vile vichenchi 168 ambavyo ni point tu kwenye ile 26B
Hujaona jezi imeandikwa b.26.1?Mkataba wa 26B upo wapi ?
Kwa hiyo M Bet wameamua kuja na hii hundi?Mo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Long live legendary I.A. RgeMo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
sawaLeo ndio mnajua majibu ya fedha za klabu zilipo yanapatikana makao makuu, mtakoma
YOTE NI MIFANO...hakuna kinachoenda bank hapo!!!....Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
Hakuna cheki hapo, yote ni mifano tu...Namimi nilijiuliza cheque gani inaandikwa kwenye gagulo
Hawa wanayanga uwasamehe usikute unaongea na mtoto hapaKama picha ya mfano wa hundi haipo, nini lengo la huu uzi?