Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....

Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
View attachment 2311299
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
View attachment 2311298

Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
"Yanga wenye akili ni wawili tu, JK na Baba yangu" Haji S Manara
 
Barbra anajua sana kucheza na akili za makolo, ndo maana Mudy siku hizi yuko pembeni tu mambo yote anamaliza Barbra
 
Mo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Kwa hiyo M Bet wameamua kuja na hii hundi?
JamiiForums-1825474382.jpg
 
Mo alileta mfano wa hundi ya 20b mkasema ana feki tu lkn ninyi hundi yenu ni real. Ama kweli kuwa Yanga imabidi uwe na akili nyepesi sana ya kupokea propaganda kwa haraka sana
Long live legendary I.A. Rge

Wanasimba wote ni Mbumbumbu - Rage
 
Naomba unioneshe Hundi ya mikataba wanayo Saini man utd, Chelsea, Liverpool au ata Mani city
 
Kama picha ya mfano wa hundi haipo, nini lengo la huu uzi?
Hawa wanayanga uwasamehe usikute unaongea na mtoto hapa


Anarukaruka tu mara hundi ya millioni mia
Ukimuuliza ya billioni 12 iko wapi anasema haijaonyeshwa anasahau nasisi pia tunauwezo wa kusema haijaonyeshwa pia

Antuonesha watu wameshika vijidaftari ambavyo contents za ndani hatuzifahamu. Na hapo yeye anaona kweli ndo ushahidi wake huo alioleta na unamaana kwenye akili yake

Hundi ya 20b waliiikataa sahv sisi tuamini hundi ya ml100 yao na hundi ya 20b tusiyoiona
 
Back
Top Bottom