Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Shida ya Hiyo Brand anayetumia 11,12,13,14,15 hawatofautiani...

Mtu anaweza kujigamba anatumia 15 wakati anayotumia ni 11 vile zinavyofanana( Na hii comment yangu isiguswe) isipokuwa huyu Atoto tu🤣
Mi naruhusiwa kugusa hii comment, enzi za 11-13 hapo kwakweli wadada waliteseka sana siku hizi haishtui sana we huko mambele watu walikuwa wanapanga mawe kuweka foleni,

Ila iPhone ngumu sana kwa sie tuliozoea matoleo mengineyo
 

Your browser is not able to display this video.


Can your apple do that?
 
Ulitaka wa-design vp bro kwa mtazamo wako ?
 
🤣🤣
Kuna hiyo moja nilimuona nayo mtu hee camera pana adi nilishtuka af huyo mtu nilikua namuheshimu sana
Huu ndio ulimbukeni Sasa, kisa wewe unatumia Range, unadharau wanaotumia IST Kila mtu atumie kile anachopenda. Mimi na brother wangu anatumia Samsung yakawaida tu, tena alinunua laki 4 na 40 lakini kamnunulia mdogo wetu wa mwisho Samsung S24 Zaid ya mil 2 na laki 4. Kwahio usidharau au kuheshimu mtu kisa simu au gari. Issue ni vipaumbele tu.
 
Simu hii ni nzuri, ina feature zote Kali lakini pia ni portable.

Ukiwa mtu wa kwenda na wakati unaweza jikuta Kila toleo jipya la simu unatamani kuwa nalo

Japo kwenye hili wahanga wakubwa ni akina Dada/Mama

Ni addiction kama ilivyo baadhi yao kuwa na lundo la nguo mpya ndani, lakini Kila wakienda Dukani wanarudi na nguo nyingine 🙌

Mwanaume anaweza kutonunua nguo mpya hata mwaka mzima ama akatumia simu moja hata miaka 4 ama 3 bila kubadirisha.
 
Kama ulizipenda Xr na 11 plain series basi bado hujui iPhone....hizo ndo simu zina vioo vibaya, iPhone X ana kioo kizuri kuliko hizo simu
X ipi? Xr sio X? Labda uniambie Xmas
Ila Xs ni mbaya kuliko.

Kama ulinunua Kikuu ndio ukapata za kioo kibaya pole. Kwangu zilikuwa bomba
 
Relax, usichukulie mambo serious hivyo kwenye social media
 
Wewe iguse tu....Maana nawe ni team android...🤣🤣🤣🤣
Hiyo Brand ya iPhone kwangu mimi nimeshindwa kabisa..
Kapeace
 
Hiyo Samsung S 24 huyo Mdogo wenu alinunuliwa used Mjomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…