CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Unalinganisha Nchimbi Makamu wa Rais na Ndejembi acting president hivi zinakutosha kweli wewe?Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Watch your backMh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Sio "kumvua uanachama wa CCM" sema "Kufukuzwa uanachama"Nchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM
🎯🎯🎯Mbona chadema wanawafukuza hata wanaohoji mapato na matumizi tu?
Eda haijaisha?Kwa sasa beat halieleweki kila mmoja anacheza kivyake!
Waziri mkuu kafunikwa na makonda,ndejembi nae yupo mzigoni
Hadi eda iishe tutaona mengi!!
Sio kila mtu anaweza kuishi kwenye kivuli cha mtu, watu wengine akili zao kubwa, experienced. Exposure capacity, hawana unafiki...Kazi ya uMakamu ni ukasuku. Fanya yale tu unayotumwa na kuagizwa ufanye na boss wako hata kama wewe hukubaliani nayo na pengine siku ukiwa Rais ungefanya tofauti kabisa na anavyofanya boss wako. Yule JD Vance ana vitu vingi sana vinavyomkera kwa Trump lakini analazimika kukubaliana nae hivyohivyo. Rais Samia alikuwa anafanya kama alivyokuwa anaagizwa kufanya na Magufuli hataka yeye alikuwa na mtizamo tofauti na yeye kwwnye jambo alilomwagiza kufanya.
Maana ni Ile IleSio "kumvua uanachama wa CCM" sema "Kufukuzwa uanachama"
Mimi mtanzania wa kawaida kabisa naweza nisijue maana ya maendeleo ni nini lakini ninachoweza kuona ni njia ya kwenda kwetu ina lami, nimelala na kuamka salama, mabasi yanatembea hata usiku, kijijini kwetu kuna shule, zahanati, umeme na maji. Naangalia mechi hukuhuku kijijini, tz ina timu 4 zinazoshiriki mashindani ya CUF, wachezaji wa nchi nyingi hata zile kubwa South Afrika wanacheza ligi yetu, hakuna anaelala na njaa, na hakuna asiyekuwa na pakulala, ardhi ipo hata nikitaka kulima, kufuga, kufanya biashara, kuchimba, kuvua leo naweza kufanya hivyo. Sasa kama haya sio maendeleo nitakuwa sijui maendeleo ni nini? Kwanza sihitaji maendeleo zaidi ya haya.Wahenga walisema. Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake.
Description ya Makamu wa Rais ni Muungano na Mazingira.Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Right. Huo ndio mchezo. Siku madeski yakigeuka na wewe unageuza stori. Kuwa na msimamo ni kituko.Kazi ya uMakamu ni ukasuku. Fanya yale tu unayotumwa na kuagizwa ufanye na boss wako hata kama wewe hukubaliani nayo na pengine siku ukiwa Rais ungefanya tofauti kabisa na anavyofanya boss wako. Yule JD Vance ana vitu vingi sana vinavyomkera kwa Trump lakini analazimika kukubaliana nae hivyohivyo. Rais Samia alikuwa anafanya kama alivyokuwa anaagizwa kufanya na Magufuli hataka yeye alikuwa na mtizamo tofauti na yeye kwwnye jambo alilomwagiza kufanya.
Mnahangaika sana aloo. Lakini sisi tunafahamu kuwa hata China watu kama nyinyi wanao lakini wanajua namna ya kuishi nao. Hata hapa tunaendelea kujifunza namna ya kuishi na watu kama nyie mnaopenda kubahatisha na kuona itakuwaje.Huyu ni matanganyika fake, mkatoliki fake, yuko pale kulinda maslahi ya mafisadi wa kizanzibari na wa dini yake halisi
Makamu ni Rais mtarajiwa in case... hapaswi kuwa na njia zinazotiliwa mashaka na boss wake. Nchimbi alifanya uzembe wa hali ya juu kuwahi kufanywa na mtu mwenye akili kamili.Right. Huo ndio mchezo. Siku madeski yakigeuka na wewe unageuza stori. Kuwa na msimamo ni kituko.
UnatombwaKama ile ya mzee wako au ipi?
Yeye na babu yake Kambona ni wasaliti kwa nyakati tofauti. Simaanishi wangoni sio watu wa kuwaamini mkiwa kwenye mtumbwi mmoja.Nchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM