Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Yes kwa kusema watanzania piganieni katiba mpya?Yeye na babu yake Kambona ni wasaliti kwa nyakati tofauti. Simaanishi wangoni sio watu wa kuwaamini mkiwa kwenye mtumbwi mmoja.
Jichanganyeni tena kama vile. Tumeshawahilite tayari bado kubonyeza delete button tu muende kwenye recycle bin.Vyombo vya dola ni mali ya ccm CHACHA
Vyombo gua dola si mali ya ccm
KABUDI
ππππππ , yani mnachekesha sana.
Jibu hoja nani yuko sahihi na nani kakosea kwa mujibu wa katiba?Jichanganyeni tena kama vile. Tumeshawahilite tayari bado kubonyeza delete button tu muende kwenye recycle bin.
Hebu tuambie alisaliti kwa kufanya kitu ganiYeye na babu yake Kambona ni wasaliti kwa nyakati tofauti. Simaanishi wangoni sio watu wa kuwaamini mkiwa kwenye mtumbwi mmoja.
Kwa kodi za nani? Unamsaada gani wewe?Umsaliti mwananchi uliyemsambazia umeme, maji, shule, hospitali, internet, mbolea, mbegu na barabara. Au hujui maana ya usaliti nini?
Ndo maana ya ubinadamu kaziSijui kwanini, sisi wenyewe tunajiona hovyo lakini nchi nyingine zinatuona baab kubwa. Zinatuona tuko kwenye mstari ulionyooka kuliko wao. Kila anaekuja hapa hataki kurudi kwao.
RubbishMnahangaika sana aloo. Lakini sisi tunafahamu kuwa hata China watu kama nyinyi wanao lakini wanajua namna ya kuishi nao. Hata hapa tunaendelea kujifunza namna ya kuishi na watu kama nyie mnaopenda kubahatisha na kuona itakuwaje.
Mnakuwa kama vile namna gani.Hebu tuambie alisaliti kwa kufanya kitu gani
Soma uo uzi hapo bana tlaatlaa utoe comments mbona hujibu hoja za mwana ccm mwenzio?nieleze cha kukusaidia gentleman π na itapendeza zaidi
ok.πSoma uo uzi hapo bana tlaatlaa utoe comments mbona hujibu hoja za mwana ccm mwenzio?
Kwani dhambi kukubali kukosolewa!Maana ni Ile Ile
Usipojibu najua umemuogopaπok.π