Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Gentleman,
unataka muongozo upi kwenye maoni na mtazamo huru wa mtoa hoja dhidi ya utendaji wa makamu wa Rais aliowabainisha kwa mtazamo wake?

Mie nadhani,
ni muhimu sana usijidharau gentleman, hata kama unaamini sana uchambuzi, ufafanuzi na kuyakubali zaidi maoni ya wabobevu waandamizi wa masuala ya kisiasa uliowatag hapo juu.

Kwa maoni yangu kama mtaalamu mwandamizi katika siasa, political dynamics ni suala lisiloepukika kwenye siasi, lakini pia political mistakes, blunders na ajali za kisiasa katika utendaji wa viongozi wa kisiasa ni vitu vinavyotarajiwa sana miongoni mwa wanasiasa, sio tu Tanzania, bali ulimwenguni kote.
Na ndio maana, Rais hayati Alli Hassan Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake.

Mie nadhani kila moja katekeleza wajibu wake kadiri alivyo weza, na ndio maana kama taifa tunasonga mbele pamoja na kwa amani sana chini ya kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr. Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Kwani hiyo katiba mpya mchakato wake upo au haupo?
 
Kwamba ccccm Kuna Wenye akili au wanafiki?
 
Aliambiwa asiende kuwa samaki😁😁😁 fanya masihara
 
Asubiri hadi awe rais na wakati anawafahamu wahuni?
 
Kwa hiyo umekwamishwa?
Wakati wanaandaa ilani hawakujua kama kuna mapinduzi yaliandaliwa. Na kusema ukweli mapinduzi yale hayakuwa ya chadema tu, bali hata wanaCCM walikuwemo mule. Huwezi kuandika katiba kwenye mazingira ambayo wengine wamekatwa vidole, wengine wamepoteza mali zao na wengine wana misiba, wengine majeraha na wakati huohuo hela nyingi sana zinahitajika kurejesha huduma zilizoharibiwa.
 
Asubiri hadi awe rais na wakati anawafahamu wahuni?
SIjui ni nani alimpendekeza Nchimbi kuwa Katibu wa CCM na baadae Makamu wa Rais hata baada ya kukosa adabu kwa kumuunga mkono Lowassa kupinga maamuzi ya chama ya kumteua Magufuli kuwa mgombea.

Aliyempendekeza kuwa Makamu nadhani alitaka kufanya kitu kinachoitwa na wataalam wa magonjwa ya akina mama "trial of scar".
 
Kumbe, kwa hiyo bado hayajaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…