Hizi nyuzi huwa hazipoteiMh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kwa vile hapa nchini Rais hachaguliwi na wapiga kura na mustakabali wa mtarajiwa hutegemea baraka za aliye madarakani, uko sawa kabisa. Akimfurahisha boss inatosha.Makamu ni Rais mtarajiwa in case... hapaswi kuwa na njia zinazotiliwa mashaka na boss wake. Nchimbi alifanya uzembe wa hali ya juu kuwahi kufanywa na mtu mwenye akili kamili.
Sasa tuambie yeye alihoji niniMbona chadema wanawafukuza hata wanaohoji mapato na matumizi tu?
Wala sio hivyo, Magufuli sio chaguo la Kikwete lakini amekuwa Rais. Hata Magufuli mwenyewe hakuwahi kuamini kama yeye ndiye Rais hadi amekufa.Kwa vile hapa nchini Rais hachaguliwi na wapiga kura na mustakabali wa mtarajiwa hutegemea baraka za aliye madarakani, uko sawa kabisa. Akimfurahisha boss inatosha.
Kule ambapo utawala wa banana republic umegoma, uchawa si mkakati bora.
Leo wanasiasa wa Republican wanaotarajia kuwa na fursa endelevu kisiasa huko Marekani wameanza taratibu kujitenga na Trump kiaina. Wanahaha kukwepa ghadhabu ya wapiga kura waliokirihishwa na mambo ya Trump ambaye anazidi kuthibitika kuwa na dalili za wehu na mission ya kuangamiza taifa lao.
Mbona chadema wanawafukuza hata wanaohoji mapato na matumizi tu?
We Mjinga, Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi; https://www.jamiiforums.com/threads...gwa-stop-kuomba-miradi.2483999/#post-57064924Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kwahiyo wanamkomoa Samia? Huu ndio ubongo wa ndezi.We Mjinga, Vikwazo vya Jumuiya ya Madola (COMMONWEALTH) kwa Tanzania Vimeanza Rasmi - NGOs Zapigwa Stop kuomba Miradi; https://www.jamiiforums.com/threads...gwa-stop-kuomba-miradi.2483999/#post-57064924
Unajua maana ya collective responsibility/uwajibikaji wa pamoja kwenye uongozi?. Hakukubaliana nao akaamua kujiuzulu, shida iko wapi hapo?.Jibu swali kosa gani alifanya
Inafikirisha sana na inaogopesha. Binafsi siamini kama hakujua kuwa anakosea. Najiuliza tu kwanini aliamua kukosea makusudi?That is a high national office haina maana unaenda kubishana na watumishi wa umma tena mbele ya vyombo vya habari tena ukitumia lugha za kihuni ....ukadhani you are building a legacy.
Magufuli failed to some point because of that ....
Sijawahi kuona Makamu MPUMBAVU kama Emmanuel Nchimbi, hata uzoefu wake wa kuanzia Chipukizi, UVCCM na Ukatibu Mkuu haukumsaidia kitu.Nchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM
Icho kituko Kiko wapi sikuizi? Tunaomba kujua unachokiita kituko Kiko wapiMh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Huu Muungano hauko sawa, mara nyingi Rais akitokea Zanzibar, Makamu ambao wanakuwa watanganyika wanapata temptation sana katika kuiongoza Tanzania. Mwinyi na Malechela mambo yalikuwa hayahaya ya Samia na Nchimbi. Hili jambo nilazima liangaliwe kiuhalisia, la sivyo vyombo vya usalama vitawamaliza watanganyika wenzao kwa kuwalinda wazanzibar. Muungano wa serikali mbili ni muhimu ubaki na balance ya waasisi wetu. Rais wa Tanzania awe anatoka bara, na Zanzibar ibaki na Rais wake na Makamu wa Nchi kutoka huko. Waziri mkuu awe kama kawaida support ya Tanzania bara, hapo unakuwa umebalance power ya serikali katika uongozi wa juu wa Nchi. Kama jambo hilo ni gumu, serikali ya Zanzibar ife tubaki na Muungano wa serikali moja tu. Mtindo wa kuwa na Rais wa Tanzania mzanzibari, nchi inakuwa haiko balanced. Kunakuwa na viongozi wakuu wawili ambao ni Amiri jeshi Mkuu na Amiri jeshi Mkuu msaidizi wote kutoka Zanzibar, kwa sababu wote hao wanapigiwa mizinga hata kama inatofautiana idadi yake. Mmoja anakuwa mwenyekiti wa Baraza la usalama la taifa na mwingine ni mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi la zanzibar. Mizani inakuwa imeegemea upande mmoja. Bara inabaki na Makamu na waziri mkuu ambao hawana nguvu zozote za dola. Hali hiyo ndio mara nyingi chanzo cha vurugu za kiuongozi hapa nchini. Kunakuwa na Makamu wa Rais kutoka bara asiye na 'say' kwenye maamuzi makubwa ya nchi ambayo kwa kiasi kikubwa yana-affect idadi mkubwa ya watu wa sehemu anakotoka. Mwangwi au kelele za wananchi zinapotokea kutokana maamuzi yaliyotolewa lazima zitamdisturb zaidi makamu kuliko boss wake. Kelele za kuuza bandari ya Dar es salaam haziwezi kumsumbua zaidi mzanzibari kuliko mtanganyika.Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9