Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Tukubaliane, Kaskazini kwenye katiba yetu HAKUNA UVUMILIVU. Rudi nyunbani hujaua mama. Chumba chako kipo pale pale godoro na kitanda havijauzwa. Wewe tu. Ajabu zaidi nashangaa eti na Mbeya mumewaweka kwenye list mawifi zangu[emoji23][emoji23] aah, hebu watoeni haraka

[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
 
Wakuu, za siku nyingi?

Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania

yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.

1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
1. Kigoma
 
Samahani mkuu,
akili kisoda ndiyo akili gani..? ya kutojua hesabu ama gani.?
Uwezo wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. So kama mtu alishawahi kukwambia hivyo au atakuja kukwambia jua hivyo.
 
Tukubaliane, Kaskazini kwenye katiba yetu HAKUNA UVUMILIVU. Rudi nyunbani hujaua mama. Chumba chako kipo pale pale godoro na kitanda havijauzwa. Wewe tu. Ajabu zaidi nashangaa eti na Mbeya mumewaweka kwenye list mawifi zangu[emoji23][emoji23] aah, hebu watoeni haraka

[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom