Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

Kaskazini mjadala wake tulishaufunga dada, huko hakufai hata kidogo. mabinti wa kaskazini ni wajuaji aisee acha kabisa[emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe tyr ndoa hakunaa me na wewe!!!! Hio mikoa usiyoipenda nipo my dear
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkeo mlugulu nini?!!!
Sjaoa bado Cute wife, usiniwahishe huko😊
Nilikuwa najaribu tu kuwaza kama yule mkaguru ndio angekuwa wife🤣
 
Wakuu, za siku nyingi?

Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania

yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.

1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
Manyara
 
😆😆😆😆
Ana mafundisho mazuri kweli, ngoja nkulipie kesho aanze kukufunda😂
Kungwi Depal kesho una muda umfunde mwana huyu
Ajeee
Hatajutia kabisa,, tena baba Mwamposa atafurahia maana dada ataenda na slide za kutosha 🤣🤣
 
Wakuu, za siku nyingi?

Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania

yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.

1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
Moshi iwe namba moja
 
Back
Top Bottom