Chaliifrancisco alitakiwa akugaie sheria za kuvuta jani mapema sana..!π€£π€£π€£ bangi imeingia maji bana
Hahaha..!!Ajeee
Hatajutia kabisa,, tena baba Mwamposa atafurahia maana dada ataenda na slide za kutosha π€£π€£
π€£πππ jani halina sheria banaChaliifrancisco alitakiwa akugaie sheria za kuvuta jani mapema sana..!
Hahaha..!!
Baba Mwamposa akiona hapa atakutumia na ada kabisa..!!
Ila sio wazuri wengi nyama ya uso na mguu vinafana.
1. KigomaWakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1. Iringa
2. Mara
3. Shinyqnga
4. Mwanza
5. Kigoma
6. Simiyu
7. Geita.
8. Mbeya
9. Ruvuma
10. Njombe
11. Tabora
12. Dodoma
NAKAZIAOeni ,WAHA.
walobaki Wote ni tuishi nao tu ivoivo
Uwezo wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. So kama mtu alishawahi kukwambia hivyo au atakuja kukwambia jua hivyo.Samahani mkuu,
akili kisoda ndiyo akili gani..? ya kutojua hesabu ama gani.?
Shukrani mkuu,Uwezo wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. So kama mtu alishawahi kukwambia hivyo au atakuja kukwambia jua hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukubaliane, Kaskazini kwenye katiba yetu HAKUNA UVUMILIVU. Rudi nyunbani hujaua mama. Chumba chako kipo pale pale godoro na kitanda havijauzwa. Wewe tu. Ajabu zaidi nashangaa eti na Mbeya mumewaweka kwenye list mawifi zangu[emoji23][emoji23] aah, hebu watoeni haraka
[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]