Wazo jema sana. Tatizo nani akusikilize? Lile lopolopo la Dar limeshajiingiza!Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapewe haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China
Hatari sana kwakweli wakienda kwa namna hii ya kuvuana nguo huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana kutakuwa na migogoro mingi sana ya ndani na nje ya nchi ambayo matokeo yake ni kuharibu nchi moja kwa mojaWazo jema sana. Tatizo nani akusikilize? Lile lopolopo la Dar limeshajiingiza!
Hakuna mtu mtu wa kuliona hili serikalini!Hatari sana kwakweli wakienda kwa namna hii ya kuvuana nguo huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana kutakuwa na migogoro mingi sana ya ndani na nje ya nchi ambayo matokeo yake ni kuharibu nchi moja kwa moja
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapewe haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapewe haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China
Kama ni zao kihalali kosa lao ni kutokulipa tu kodiWajomba wamekuta Wana mpunga mrefu Sana, wamelamba tayari nusu ya hiyo, na nusu yake wameitaifisha.....tusubiri tu kuona Maghorofa yakiporomoshwa na Hawa wajomba wa vyombo vya Dola...!
Umeandika na kuwaza kinyonge sana kama mgonjwa.Je,Watanzania wakikamatwa kwa uhalifu huko China, ndivyo na wao hufanyiwa ulivyowaza? Rules are rules.Without rules we are all savages.Amkaaaaa!Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapewe haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China
Wazingatie tu haki lakini na China wanapowakamata Watanzania watoe haki kwasababu wakati mwingine upande mmoja unaweza kuonewa badae ikazalisha matatizo makubwa sanaUmeandika na kuwaza kinyonge sana kama mgonjwa.Je,Watanzania wakikamatwa kwa uhalifu huko China, ndivyo na wao hufanyiwa ulivyowaza? Rules are rules.Without rules we are all savages.Amkaaaaa!
Hayo ni mawazo yako.It's okay but not alright!Tukijidekeza tutakosa maana ya "sheria ni msumeno"!Wazingatie tu haki lakini na China wanapowakamata Watanzania watoe haki kwasababu wakati mwingine upande mmoja unaweza kuonewa badae ikazalisha matatizo makubwa sana
Maana yangu si Wachina wahurumiwe ni haki itendeke ili kusiwepo na malalamiko baadaye
Kama wamevunja Sheria hilo ni tatizo kwasababu ndiyo inayohukumuWewe mpuuzi nenda China kakae na pesa nyingi namna ile ndani halafu utaona namna nzuri China wanavyoshughulikia kesi kama hizi.
Ukisema kila atakayempa mimba mwanafunzi adhabu yake ni kumlea mtoto atakayezaliwa unadhani kitatokea nini?
Vema.Umerudi square one!Sheria iachwe ifanye kazi yake.Sheria ndiyo itahukumu haimaanishi kutumia njia nyinginezo zilizopo kinyume na Sheria
Sheria ndiyo itatoa haki
na ndio inakoendea huko! sababu ya ujinga wa watu wachacheTanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi