Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

Ahsante..nafurahi kuona watu tunaotizamana mitazamo sawia 🤝🏾
 
Well said,mate.
 
Hilo NAMBA 3 siasa zimetumika na huruma.

Ilitakiwa iwe marufuku mtu kuanza ujenzi kama eneo halijapimwa na halina hati.
Pia ilitakiwa serikali ndiyo iratibu upimaji husika ukae kama waonavyo ni sahihi kuanzia maeneo ya shule, kanisa, stendi, mapumziko, hospital, vituo vya afya etc

Ila bado hawajachelewa wanaweza anza hata leo.

Kuna maeneo watu hawakutakiwa jenga kabisa mf mabatini, kimara etc
 

Uliyoyataja 60% yanamhusu Nyerere. Unataka kusemaje?
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…