Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Ametugharimu sana huyu mzee. Si kwa fedhea hizi tunazofedheeka kwenye haya makesi8. Kuruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametugharimu sana huyu mzee. Si kwa fedhea hizi tunazofedheeka kwenye haya makesi8. Kuruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania
Yule mzee tunamheshimu sana ila kuna mambo alifanya yametucost na yatatucost sanaNamba 1 ndo imesababisha hayo yote sijui mwl.Nyerere aliwazaga nin aisee
Ahsante..nafurahi kuona watu tunaotizamana mitazamo sawia 🤝🏾1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Asante sanaAhsante..nafurahi kuona watu tunaotizamana mitazamo sawia 🤝🏾
Well said,mate.1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
1. Kuanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967. Uamuzi huu ulipelekea jamii nyingi sana kuingia kwenye umaskini na nyingi hazijaondoka kwenye umaskini hadi leo. Pia imefanya jamii nyingi kuwa na akili mfu na kutopenda kufanya kazi wakitegemea Serikali kuwafanyia kila kitu
2. Kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia na mawasiliano. Hili jambo ukichanganya na matokeo ya jambo la kwanza limeturudisha nyuma sana. Leo hii Watanzania wengi wanaogopa kupambania fursa zinazopatikana duniani kwa kutokujua lugha tu. Lugha imepelekea pia kukosa fursa nyingi sana kwa Watanzania za ndani na nje.
3. Kuruhusu watu kujenga maeneo ambayo hayajapangwa wala kupimwa. Hili hadi leo limesababisha sehemu kubwa ya nchi yetu kujengwa hovyo bila mpangilio.
4. Utaifishaji wa Mali hasa Makampuni na Taasisi zilizokuwa zinajiendesha vizuri. Hili lilitokana na sera za ujamaa. Mali nyingi zilizotaifishwa hatukuweza kuziendeleza na ilikuja kusababisha uchumi wetu kuwa duni sana. Hadi leo hatujutii hili jambo
5. Kuvunja mikataba ya uwekezaji kwa Kiki za kisiasa. Hili jambo limetugharimu na litakuja kutugharimu sana huko mbeleni. Nchi hii imewapa wanasiasa nguvu kubwa sana ya kuamua mambo na imefika kipindi hawajali hata sheria na taratibu. Maamuzi yao hayahojiwi hivyo kupelekea kila siku tumekuwa tukiumizwa na maamuzi hayo.
6. Kuunda Muungano wa Serikali 2. Kiukweli muungano kama Muungano ulitakiwa kuwa wa Serikali 1 tu. Huu uwingi wa Serikali ni uchu wetu sisi waafrika kutaka nafasi ili kujipatia ulaji
NYONGEZA
7. Kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi. Kusema kweli ule mji haupendezi na utaligharimu taifa fedha nyingi sana kuupendezesha. Una kaukame kamoja kabaya sana na maji magumu sana. Kuna mda hadi pipes za kuingia majumbani zinaziba kwa sababu ya chumvi.
Sababu zilizotumika kuufanya kuwa Makao Makuu ya nchi sikubaliani nazo na ingekuwa uamuzi wangu ningechagua sehemu yenye kijani na maji safi kama Mkoa wa Pwani, Morogoro au Arusha kuufanya Makao Makuu.
Muungano wa Serikali 2 sijui 3 hadi kesho sijawahi kuuelewa. Kama tumeungana tungekuwa na Serikali moja tu full stopmuungano ndo funga kasi
Kweli kabisaHilo NAMBA 3 siasa zimetumika na huruma.
Ilitakiwa iwe marufuku mtu kuanza ujenzi kama eneo halijapimwa na halina hati.
Pia ilitakiwa serikali ndiyo iratibu upimaji husika ukae kama waonavyo ni sahihi kuanzia maeneo ya shule, kanisa, stendi, mapumziko, hospital, vituo vya afya etc
Ila bado hawajachelewa wanaweza anza hata leo.
Kuna maeneo watu hawakutakiwa jenga kabisa mf mabatini, kimara etc
Siwezi sema zaidi maana namheshimu sana. Muache apumzike kwa amaniUliyoyataja 60% yanamhusu Nyerere. Unataka kusemaje?
Ila mshangao bado Serikali inaruhusu watu wajenge hovyoKweli kabisa
AsanteeWell said,mate.
Aisee una akili sana hili jambo limeirudisha nyuma Tanzania na hata huu Mkataba wa DP World chanzo chake ni Magufuri.Magufuli kua rais